Mshume Kiyate
JF-Expert Member
- Feb 27, 2011
- 6,766
- 894
Wengi Niliwahiji Wameogopa kupiga kura sababu hakukuwa na Mwislamu wa kuchagua kuwa Mbunge
Nape hakuwa Igunga alikuwa anaranda randa Singida, Mwanza, Arusha na kwingineko
until then, we will continue to challenge and question his IQ.Chuki binafsi hazijengi...wana cdm tukae tujipange na tuje na majibu, huyo nape mnaemzozoa anaeza kuamua kujiunga cdm siku moja mkaumbuka
Nadhani kuna ukweli kwenye madai yake. Unajua watu wa vijijini ni waoga sana. Kitendo cha Magwanda kwenda na mapanga kiliwafanya wanyong'onyee na waogope sana.
Nchi hii ukitaka kuwa msemaji wa ccm lazima uwe bingwa wa kutuma ujumbe wa kuudhi.