Nape vs NCHEMBA

Kima mdogo

JF-Expert Member
Sep 17, 2011
303
46
Hawa wote ni vijana machachari ndani ya ccm, kwa maoni yako ni nani kati ya wawili hawa ni kiongozi bora mwenye heshima mbele ya jamii kwa uwezo mkubwa wa kujenga hoja na ni mfano wa kuigwa na viongozi wengine na jamii kwa ujumla?
 
Hawa ni wote ni vijana machachari ndani ya ccm, kwa maoni yako ni nani kati ya wawili hawa ni kiongozi boramwenye heshima mbele ya jamii kwa uwezo mkubwa wa kujenga hoja na ni mfano wa kuigwa na viongozi wengine na jamii kwa ujumla
Lusinde ndo best,kudadadadadaddeki! nini nape na mwigulu bana!
 
Back
Top Bottom