Nape vs Mnyika Jimbo la Ubungo

Nape vs Mnyika Jimbo la Ubungo

Utampigia nani kura ya Ubunge Ubungo 2015?


  • Total voters
    229
  • Poll closed .

ibange

JF-Expert Member
Joined
Dec 31, 2010
Posts
1,543
Reaction score
553
Hawa wote ni wasemaji wa vyama vyao na pia Nape alijaribu kugombea Ubungo. Je, uchaguzi ungefanyika leo nani ungempa kura yako?
 
Umekosa kazi ya kufanya?hivi huoni kama unamdhalilisha JJ na huyo kiazi nape mropakaji eti poll!
Tena Umeshaniudhi !
 
huwezi kumfananisha nape na mnyika, Elimu, uwezo wa kisiasa, Nape ni zaidi mara 1000, labda NAPE VS SLAA hapo kidogo tunaweza kupiga kura.
 
Akagombee Igunga ajipime na Kashinde. Wa kufeli ni kufeli tu!
 
kweli hii thread imemzalilisha sana Mnyika, Mnyika labda umlinganishe na yeye kwenda kunyang'anya majimbo ya mawaziri wa JK popote atakapoenda atachukua jimbo.
 
Nape ni jina la Baba ndilo lililomvuta pale alipo, lakini hana hata sifa moja ya kuwa kiongozi. Maneno ya Nape yanapingana na level ya elimu yake. Hao vijana (Nape na Mwigulu) wanaidhalilisha elimu ya Tanzania. Kwa maana hiyo, nape hawezi shinda tena nafasi yeyote ya kuchaguliwa ndani ya ccm kama Mzee Makamba alivyosema " Nape amelaaniwa duniani na mbinguni"
 
Kwakweli umedhalilisha Mh Mnyika! Nape hafai hata kugomea uwakilishi wa kijiji!

Kwakweli kumfananisha mwanasiasa yeyote na Nape ni sawa na kumtukana!
 
Hivi jj wapi na wapi na jembe Nape.? Jj huyu ambaye alikimbia shule au mwingine?
 
Una masihara wewe yaani mke wa Mbowe ndo unataka kumshindanisha na Jembe la CCM nape? Masihara mengine bhana!!!
 
Nape hana size yake Chadema, kila mahali anapwaya.

"Ni ukweli kuwa kuna wakati tunawaweka vijana wetu kwenye Makambi, lakini kwa sasa hivi hakuna kijana hata mmoja aliye kambini"......Nape
 
Back
Top Bottom