Nape vs Mnyika Jimbo la Ubungo

Nape vs Mnyika Jimbo la Ubungo

Utampigia nani kura ya Ubunge Ubungo 2015?

  • Total voters
    229
  • Poll closed .
We mkigoma wakati huko unakokuita kwenu kote kuko kwa NCCR na CDM halafu watuambia nini? U zaidi ya wenzio wakigoma zaidi ya milioni mbili walioona akina nape kama ni oil chafu? Haya ishi 'unafikuni' matunda yake utayaona ukiendelea kukwaruzana na barabara ya tope toka Nyakanazi hadi Kidahwe kilometa zaidi ya miatatu kisha ushabikia hao uwaonao ni werevu...!

huwezi kumfananisha nape na mnyika, Elimu, uwezo wa kisiasa, Nape ni zaidi mara 1000, labda NAPE VS SLAA hapo kidogo tunaweza kupiga kura.
 
Tutaomba utuwekee Mpambano mwingine kati ya JK vs Sheikh Farid a.k.a Mzee wa Uamsho.
 
Hawa wote ni wasemaji wa vyama vyao na pia Nape alijaribu kugombea Ubungo. Je, uchaguzi ungefanyika leo nani ungempa kura yako?

Nape apambane na nani ubungo? Naomba jibu ili tujadili ili jambo....
 
We mkigoma wakati huko unakokuita kwenu kote kuko kwa NCCR na CDM halafu watuambia nini? U zaidi ya wenzio wakigoma zaidi ya milioni mbili walioona akina nape kama ni oil chafu? Haya ishi 'unafikuni' matunda yake utayaona ukiendelea kukwaruzana na barabara ya tope toka Nyakanazi hadi Kidahwe kilometa zaidi ya miatatu kisha ushabikia hao uwaonao ni werevu...!

wewe mkigoma mbona wenzio wajanja?wewe kulikoni utumie mata.ko kufikiria,pima uelewa wa nape na mnyika,haya fikiria then uje upya sawa,
 
nape is a disastors and deuces,,..................................................
 
huwezi kumfananisha nape na mnyika, Elimu, uwezo wa kisiasa, Nape ni zaidi mara 1000, labda NAPE VS SLAA hapo kidogo tunaweza kupiga kura.

Umelipwa shillingi ngapi?
 
Back
Top Bottom