unadhani ni zana zipi walizonazo NAPE na JK za kuweza kumshinda lowassa kukabiliana nazo kwenye chama cha magamba mpaka wamkimbizeLowasa will ultimately go.
Nadhani huu wakati mwafaka kwa NAPE kujiondoa katika chama cha CCM na kujichimbia kaburi,sijui ni nani alimdaganya apambane na CAPITALIST LOWASSA NA WENZAKE WAWILI,kwa tukio la jana LOWASSA kushangiliwa kwa nguvu wakati akichangia hotuba ya waziri mkuu ilionyesha ni jinsi gani mtandao wake ulivyo nanguvu ndani ya wabunge wa CCM na ndiyo ule usemi wa kuwa asilimia 90% ya wabunge wa CCM Anawamiliki yeye jana ulidhihirisha kwa uma,NAPE anawakati mngumu sana.
Ndugu yangu kijana mwenzetu NAPE alikurupuka kumbapambana na macapitalist,kwa upande wa MKam na Jk,mustakabali wao wapo tayari kukiua chama na kukigawa hasa JK kwa ajiri ya kumuandaa mtu wake ili kuja kumlinda baada ya utawala wake pamoja na mali zake mana ameshakuwa na maadui na marafiki zake wakubwa waliotumia pesa zao na pesa za kodi ya wananchi kumuweka IKULU rafiki yeye JK, na hapohapo kinalowassa wakiona usaliti mkubwa kwa JK kuwapa madaraka tena maadui zao wakubwa kina SITTA,MWAKYEMBE,hapohapo KUndi la kina lowassa likiwa na nguvu kwanzia NEC hadi kwa wabunge wa CCM,KIKWETE anawakati mgumu na chama kinaweza kupasuka kabisa mikonononi mwake,Hapo NI CONFLICT OF INTERECTje kama nape akikimbia chama nini mustakabali wa aliyemtuma kusema vile yani jk na mukama nao watakuwa kwenye wakati gani
Preventive Detention Act?????Kwa kosa lipi? Jk atoke kwanza, halafu hao wengine watatoka wenyewe, vinginevyo tupige porojo tu.Godwine,Kwa mtazamo wangu, silaha aliyonayo JK ni Preventive Detention act, and I believe, ni halali kabisa kuitumia dhidi ya Lowasa. Nipe wewe zako zinazokufanya kuamini kuwa Lowasa Demigod.
Nadhani huu wakati mwafaka kwa NAPE kujiondoa katika chama cha CCM na kujichimbia kaburi,sijui ni nani alimdaganya apambane na CAPITALIST LOWASSA NA WENZAKE WAWILI,kwa tukio la jana LOWASSA kushangiliwa kwa nguvu wakati akichangia hotuba ya waziri mkuu ilionyesha ni jinsi gani mtandao wake ulivyo nanguvu ndani ya wabunge wa CCM na ndiyo ule usemi wa kuwa asilimia 90% ya wabunge wa CCM Anawamiliki yeye jana ulidhihirisha kwa uma,NAPE anawakati mngumu sana.
Lowasa will ultimately go.
Nape ni kichuguu lowasa ni mlima kilimanjaro mkiwafananisha hamumtrndei nape hakiNadhani huu wakati mwafaka kwa NAPE kujiondoa katika chama cha CCM na kujichimbia kaburi,sijui ni nani alimdaganya apambane na CAPITALIST LOWASSA NA WENZAKE WAWILI,kwa tukio la jana LOWASSA kushangiliwa kwa nguvu wakati akichangia hotuba ya waziri mkuu ilionyesha ni jinsi gani mtandao wake ulivyo nanguvu ndani ya wabunge wa CCM na ndiyo ule usemi wa kuwa asilimia 90% ya wabunge wa CCM Anawamiliki yeye jana ulidhihirisha kwa uma,NAPE anawakati mngumu sana.
Nape ni kichuguu lowasa ni mlima kilimanjaro mkiwafananisha hamumtrndei nape haki
Je nini matokeo ya mnyukano kati ya LOWASSA na NAPE katika chama cha magamba? je nani anaelekea kukimbizwa kwenye chama