Nape vs Humphrey Polepole Voice of America

Nape vs Humphrey Polepole Voice of America

Uchaguzi serikali za mitaa lini?
 
polepole anauwezo mkubwaa sana kwa upande wa nape ni mpiga makelele tu big up brother polepole
 
polepole anauwezo mkubwaa sana kwa upande wa nape ni mpiga makelele tu big up brother polepole

umesema. mie sitaki kusikia habari ya BMK kupata au kukosa 2/3. maana rasimu ikiwa tayari ni lazima wananchi wapige kura. hapo ngoma ndo itachezwa; wenye kusema ndiyoooo, hayaaa; wenye kusema hapana, hayaaa; wenye kuiba kura hayaaa, wenye kushinda hayaaa!!!! itanikumbushia ya kenya, chungwa na ndizi.
 
Kuitaka Tnganyika yetu kwa 2-/3 ya zanzibat hatujitendei haki hata kidogo. Tujitambue na kulisimamia hlo....research inaonesha delaying techinique ya kulivunja bunge ni kusubri wasaliti wengi zaidi huku zikimwagwa dola nyingi kuissmbatisha ukawa. Ni wapongeze wajumbe wa ukawa kwa vumilia mkiwa nje kwa kujikana wenyewe kwa faida ya waliowengi... kuikosa laki 3 kila siku si jambo jepesi...ni uzalendo uliyojuu zaidi....zaidi na utayari wenu kwa lolote...you have my support...in all ways.. .
 
Back
Top Bottom