Nape vs Humphrey Polepole Voice of America

GEBA2013

JF-Expert Member
Joined
Feb 22, 2014
Posts
6,282
Reaction score
9,285
Nape nauye amesema theluthi 2 ya zanzibar ipo.hakuna tatizo lolote litakolosimamisha bunge maalum la katiba sababu kisheria colum imetimia ila kuna tatizo kisiasa sababu pawe na maridhiano pande 2 hata na hvyo hakuna tatizo sana sababu vyama vilivyotoka ni 3 na vilivyobaki ni i4 kwahyo hakuna tatizo, alisema Nape Nnauye.

Humphrey Polepole amesema theluthi 2 haipo upande wa zanzibar.
 
Kaka haraka ya nini? Tulia uandike kitu kinachoeleweka. Nape ana laana. Ni product ya mbio za mwenge. Akiuona mwenge anausujudia kama wahindi wanavyomsujudia ng'ombe. Maana bila huo asingeletwa duniani.
 
CCM wameshanunua wabunge ambao watakengeuka dakika za mwisho wakati wa kupiga kura. I tell you me.
Wanasiasa mbulula wapo tu, utaona kitakachotokea.

Inasikitisha tu kwamba wakati dunia inakwenda mbele, sisi tuliowapa mamlaka ya kutuongoza tangu 1961 wao hawana habari kabisa juu ya ustawi wa jamii. Wanawaza kubaki madarakani tu.
Siasa ya namna hii ni hatari sana.
 
Thatha kama theluthi 2 zimepatikana si wapigie kura ibara zilizokwisha jadiliwa? wanaogopa nini hawa Maccm? porojo za nini sasa?
 
I dont care. Ninachotaka mimi ni amani itawale, tuweze kwenda kulima kwa amani. Mvua zinyeshe vizuri ili mazao yastawi. Katiba mpya ipatikane isipatikane hainisaidii. Watanzania ni whale wale wawe wa ccm, cuf, chadema au chama chochote. Sijawahi kusaidiwa na mwanasiasa yeyote zaidi ya kutumia nguvu zangu na akili zangu kujiletea maendeleo yangu. Nashukuru barabara inayopita kijijini kwetu inajengwa kwa kiwango cha lami. Naamini bei ya mazao yetu itaongezeka. Nata vitu viwili tu, amani na mvua ili maisha yangu yaendelee
 
thatha kama theluthi 2 zimepatikana si wapigie kura ibara zilizokwisha jadiliwa? Wanaogopa nini hawa maccm? Porojo za nini sasa?

theluthi 2 wapi mkuu ina mana hao wajumbe wote watapiga kura zote upande mmoja tu labda wachakachue tu,,,ndyooooo waliosema ndyo wameshnda
 
Kaka haraka ya nini? Tulia uandike kitu kinachoeleweka. Nape ana laana. Ni product ya mbio za mwenge. Akiuona mwenge anausujudia kama wahindi wanavyomsujudia ng'ombe. Maana bila huo asingeletwa duniani.

Hapa zinajadiliwa hoja sio watoa hoja! Wewe unaweza kutueleza wazazi wako walikuwa wapi wakati wananyegeshana na hatimae kupandana na kusababisha ki 'ZYGOTE' chako? Pengine huyo unaemwita 'Baba' ni wa kichina, pengine mimba yako imetungwa kwenye choo cha kilabu cha pombe mama yako alipoenda kujisaidia akakuta njemba inamsubiri ikamaliza kazi. Huna fursa wala haki ya kumdhalilisha mtu kwa kitu asichokuwa na Control nacho.
 
I dont care. Ninachotaka mimi ni amani itawale, tuweze kwenda kulima kwa amani. Mvua zinyeshe vizuri ili mazao yastawi. Katiba mpya ipatikane isipatikane hainisaidii. Watanzania ni whale wale wawe wa ccm, cuf, chadema au chama chochote. Sijawahi kusaidiwa na mwanasiasa yeyote zaidi ya kutumia nguvu zangu na akili zangu kujiletea maendeleo yangu. Nashukuru barabara inayopita kijijini kwetu inajengwa kwa kiwango cha lami. Naamini bei ya mazao yetu itaongezeka. Nata vitu viwili tu, amani na mvua ili maisha yangu yaendelee

Amani inaweza kutawalanna mvua zisinyeshe na maji yyetu ya mito na maziwa yakiwa naishia baharini huku fursa za serikali kuwezesha kujengwa kwa irrigation scheme zipo lakini hazijengwi.

Think...isiangalie ugali tu.
 
Huyu hamphrey mgonjwa wa mawazo na fikra anawaza kitoto sana anadhani kila kitu ni ugomvi tu.
 
Vzuri sana brigita ila kama haujui kingereza andika kiswahi tu na utaeleweka.I TELL YOU ME.maana yake nni sasa kama sio kujidhalilisha pole sana kasome memukwa.nawasilisha.
 
Mtaamini mwisho wa siku watu wakipiga kura na zikatimia
 
NAPE NAUYE AMESEMA THELUTHI 2 YA ZANZIMBAR IPO.HAKUNA TATIZO LOLOTE LITAKOLOSIMAMISHA BUNGE MAULUM LA KATIBA SABABU KISHERIA COLUM IMETIMIA ILA KUNA TATIZO KISIASA SABABU PAWE NA MARIDHIANO PANDE 2 HATA NA HVYO HAKUNA TATIZO SANA SBB VYAMA VILIVYOTOKA NI 3 NA VILIVYOBAKI NI I4 KWAHYO HAKUNA TATIZO,alisema nape nauye.naye hamphrey polepole amesema theluthi 2 haipo upande wa zanzimbar.

Nape mfia Ubepari v/s Polepole mfia Ujamaa, maoni yao hawa ni aghalabu kufanana.
 
I dont care. Ninachotaka mimi ni amani itawale, tuweze kwenda kulima kwa amani. Mvua zinyeshe vizuri ili mazao yastawi. Katiba mpya ipatikane isipatikane hainisaidii. Watanzania ni whale wale wawe wa ccm, cuf, chadema au chama chochote. Sijawahi kusaidiwa na mwanasiasa yeyote zaidi ya kutumia nguvu zangu na akili zangu kujiletea maendeleo yangu. Nashukuru barabara inayopita kijijini kwetu inajengwa kwa kiwango cha lami. Naamini bei ya mazao yetu itaongezeka. Nata vitu viwili tu, amani na mvua ili maisha yangu yaendelee
Acha unafiki ww gamba mvua haiwez kutenganisha maeneo ya wakulima na wafugaj bila mipango,wala kuleta madawa hospitalin,wala kutafuta soko la mazao yako unachodhani unapata kwa hoja zako mfu hizi ni kidogo sana kulingananisha na waliokutuma wanachochukua,hiz mesej zako hazina ushawish wowote humu zipeleke vijijini kwa vikongwe na wasiojiweza sie hii nchi tunataka kuipeleka kwa speed ya light,sio konokono kama ww.
 
I dont care. Ninachotaka mimi ni amani itawale, tuweze kwenda kulima kwa amani. Mvua zinyeshe vizuri ili mazao yastawi. Katiba mpya ipatikane isipatikane hainisaidii. Watanzania ni whale wale wawe wa ccm, cuf, chadema au chama chochote. Sijawahi kusaidiwa na mwanasiasa yeyote zaidi ya kutumia nguvu zangu na akili zangu kujiletea maendeleo yangu. Nashukuru barabara inayopita kijijini kwetu inajengwa kwa kiwango cha lami. Naamini bei ya mazao yetu itaongezeka. Nata vitu viwili tu, amani na mvua ili maisha yangu yaendelee

Ila shaka unaishi ili ule
 
Back
Top Bottom