Saint Ivuga
JF-Expert Member
- Aug 21, 2008
- 55,028
- 59,657
Kina mama wakigalagala chini baada ya kuingiwa na maneno ya Nape songea
Watoto mtaachiwa radhi na mama zenu, nyie wafateni hao magwanda yasiyo na mpango. Mnaona kina mama zenu wanavyoishangilia CCM, sasa nyinyi jifanyeni mna akili kuliko wao.
Hakuna hata kijana hapo na hao ndiyo watanzania wachache ambao wanaamini Nyerere yungali anaishi....alafu hapa si Songea mjini kakusanya wana vijiji tu pale mjini hawaambiwi kitu kuhusu GWANDA.
hapo ni kanga tu no kandambiliama wanafurahia hii zawadi ya kanga?
Nape ulikumbuka kuwapa kanga za ccm ukasahau kuwapa hata kandambili ..ama ccm hamjaanza kutengeneza kandambili bado
![]()
Kina mama wakigalagala chini baada ya kuingiwa na maneno ya Nape songea
![]()