Nape Umeonyesha Upendo Mkubwa leo

Nape Umeonyesha Upendo Mkubwa leo

Wadau
Leo mida ya mchana Mhesh Nape Nnauye alipita maeneo ya soko kuu Arusha karibu na kijiwe cha kahawa maarufu kwa makada wa chadema.
Kilichonifurahisha akiwa ndani ya gari lake makada hao wa chadema bila uoga walimfuata kumsalimia na kisha kumuomba Kada huyo wa CCM angalau awapatie hela kidogo kwa ajili kahawa na kashata.Bila kusita wala kujali itikadi tena kwa moyo wa ubinadamu na kuzingatia hali zao Mhesh Nape aliwapatia vijana hao hela kidogo kisha kuendelea na safari yake.Naamini Mhesh Nape alikuwa kwenye majukumu mazito yakichama lakini aliona nivema tena kwa busara kubwa atumie muda huo mfupi angalao kuwasikiliza na kuwasaidia makada hao wa Chadema.
Ukweli jambo hili ulilolifanya limenifurahisha sana kwani limeonyesha kuwa kwa CCM siasa sio uadui bali maendeleo. Kwa siku ya leo kumekuwa na utulivu eneo hilo na upendo umetawala.
Hongera sana Kada wa Chama cha Mapinduzi na Mbunge wa Mtama.
Karibuni.
Nilipoona neno 'Mhesh' kwenye uzi wako nilidhani ni makosa ya kiuandishi lkn kuendelea mbele zaidi umerudia more than three times, mkuu, linaandikwa Mh.
 
Hivi mnapoteza muda wenu kujadili upuuzi WA Nape kununua kahawa ma kashata? Mleta mada Ni mnafiki, don't waste your time, Kuna mambo ya maana zaidi ya hili ya kujadili
 
Hivi siku hizi mtu akimnunulia jirani kahawa na kashata ndiyo amemuondolea dhiki za maisha? Na kunywa kahawa ni kipimo cha mtu kuwa masikini au hajiwezi? Kuna uhakika gani kwamba wale wanywa kahawa wote walikuwa CDM?Unataka kutuaminishaje kwamba tukio hilo halikuwa LA kupanga ili "ku-exhume the dead ones"?Mnafanya tusiasa uchwara hadi basi! Shame!
Tukio halikuwa la kupangwa.
Kijiwe hicho ni ngome ya Chedema kwa muda mrefu sana na hilo linajulikana wazi wala sio siri.
Mh Nape alikuwa anapita eneo hilo akiwa kwenye shughuli zake ndani ya gari na kulikuwa na foleni hivyo wana Chadema walitumia fursa hiyo kwa kumfuata kwenye gari lake. Yeye binafsi wala hakushuka kutoka kwenye gari lake bali alikuwa njiani kuelekea na masuala yake.
Kijiwe hicho kipo nje ya ukuta wa soko kuu na ni karibu sana na barabara.
 
Wadau

Leo mida ya mchana Mh. Nape Nnauye alipita maeneo ya soko kuu Arusha karibu na kijiwe cha kahawa maarufu kwa makada wa CHADEMA.

Kilichonifurahisha akiwa ndani ya gari lake makada hao wa CHADEMA bila uoga walimfuata kumsalimia na kisha kumuomba Kada huyo wa CCM angalau awapatie hela kidogo kwa ajili kahawa na kashata.

Bila kusita wala kujali itikadi tena kwa moyo wa ubinadamu na kuzingatia hali zao Mh.Nape aliwapatia vijana hao hela kidogo kisha kuendelea na safari yake. Naamini Mh. Nape alikuwa kwenye majukumu mazito ya kichama lakini aliona ni vema tena kwa busara kubwa atumie muda huo mfupi angalao kuwasikiliza na kuwasaidia makada hao wa CHADEMA.

Ukweli jambo hili ulilolifanya limenifurahisha sana kwani limeonyesha kuwa kwa CCM siasa sio Uadui bali Maendeleo. Kwa siku ya leo kumekuwa na utulivu eneo hilo na upendo umetawala.

Hongera sana Kada wa Chama cha Mapinduzi na Mbunge wa Mtama.

Karibuni.
Amefanya kitu kibaya sana kukubali kuwapa hela vijana na nguvu zao ambao wameamua kukaa kijiwe cha kahawa! Kitendo hiki kinapaswa kikemewe, la sivyo vijana wataendelea kukaa vijiwe vya kahawa kuvizia watu wapite waombe hela!
 
Dont be cheap to that extend!....fanya analysis ya mambo mabaya ambayo kawafanyia upizan kwa kipindi chote kwanza..... usiwe kama mwanamke ambaye hata akimfumaia mmewe kwenye kitanda chake akishikwa kiuno kidogo na mmewe husema nimekusamehe!

Yaani hii nchi kukombolewa bado sana, juzi hapa Bashe alikuwa anasifiwa kama nini, huyu Nepi pia, wametukana na kuhamasisha mpigwe hata siku tatu hazijaisha, jana watu wamekatwa mapanga, eti leo amenunua kashata unamsifia...
 
Kawaida sana kwa hao jamaa kugawa rushwa, hata kashata
 
Kitendo chochote cha ugawaji pesa hovyo hasa unapokuwa kwenye kampeni ni makosa..
Hiyo inaweza kuchukuliwa kama rushwa..nape alifanya kwa nia njema ila wrong timing.
Ashukuru domokaya Bado yupo kitandani Nairobi hospital..vinginevyo ingekuwa nongwa hiyo
 
Unamuamini mwizi wa Kura?
Karma will never forget them.
 
Dont be cheap to that extend!....fanya analysis ya mambo mabaya ambayo kawafanyia upizan kwa kipindi chote kwanza..... usiwe kama mwanamke ambaye hata akimfumaia mmewe kwenye kitanda chake akishikwa kiuno kidogo na mmewe husema nimekusamehe!
Mbona mnamlazimisha ang'oke ccm na kuhamia...
 
Libya na Arusha ni sehemu pekee watu wananunuliwa
 
Wadau

Leo mida ya mchana Mh. Nape Nnauye alipita maeneo ya soko kuu Arusha karibu na kijiwe cha kahawa maarufu kwa makada wa CHADEMA.

Kilichonifurahisha akiwa ndani ya gari lake makada hao wa CHADEMA bila uoga walimfuata kumsalimia na kisha kumuomba Kada huyo wa CCM angalau awapatie hela kidogo kwa ajili kahawa na kashata.

Bila kusita wala kujali itikadi tena kwa moyo wa ubinadamu na kuzingatia hali zao Mh.Nape aliwapatia vijana hao hela kidogo kisha kuendelea na safari yake. Naamini Mh. Nape alikuwa kwenye majukumu mazito ya kichama lakini aliona ni vema tena kwa busara kubwa atumie muda huo mfupi angalao kuwasikiliza na kuwasaidia makada hao wa CHADEMA.

Ukweli jambo hili ulilolifanya limenifurahisha sana kwani limeonyesha kuwa kwa CCM siasa sio Uadui bali Maendeleo. Kwa siku ya leo kumekuwa na utulivu eneo hilo na upendo umetawala.

Hongera sana Kada wa Chama cha Mapinduzi na Mbunge wa Mtama.

Karibuni.
Kumbe, ni rahisi kufanya biashara nanyi!
 
Upendo wa kweli ni kutokufunga "goli la mkono."
 
Back
Top Bottom