Nape Umeonyesha Upendo Mkubwa leo

Nape Umeonyesha Upendo Mkubwa leo

Vp pande ya CDM njaa inapuliza maana siapaelewi elewi wengine wanaondoka wengine wana piga mizinga!
 
Hivi siku hizi mtu akimnunulia jirani kahawa na kashata ndiyo amemuondolea dhiki za maisha? Na kunywa kahawa ni kipimo cha mtu kuwa masikini au hajiwezi? Kuna uhakika gani kwamba wale wanywa kahawa wote walikuwa CDM?Unataka kutuaminishaje kwamba tukio hilo halikuwa LA kupanga ili "ku-exhume the dead ones"?Mnafanya tusiasa uchwara hadi basi! Shame!
 
Wadau
Leo mida ya leo mchana Mhesh Nape alipita maeneo ys soko kuu Arusha karibu na kijiwe cha kahawa maarufu kwa makada wa chadema.
Kilichonifurahisha akiwa ndani ya gari lake makada hao wa chadema bila uoga walimfuata kumsalimia na kisha kumuomba Kada huyo wa CCM angalau awapatie hela kidogo kwa ajili kahawa na kashata.Bila kusita wala kujali itikadi tena kwa moyo wa ubinadamu na kuzingatia hali zao Mhesh Nape aliwapatia vijana hao hela kidogo kisha kuendelea na safari yake.Naamini Mhesh Nape alikuwa kwenye majukumu mazito yakichama lakini aliona nivema tena kwa busara kubwa atumie muda huo mfupi angalao kuwasikiliza na kuwasaidia makada hao wa Chadema.
Ukweli jambo hili ulilolifanya limenifurahisha sana kwani limeonyesha kuwa kwa CCM siasa sio uadui bali maendeleo. Kwa siku ya leo kumekuwa na utulivu eneo hilo na upendo umetawala.
Hongera sana Kada wa Chama cha Mapinduzi na Mbunge wa Mtama.
Karibuni.
Rubbish.
 
Wakati anatunga masheria ya ajabu ajabu na kufungia hovyo magazeti haya maneno yenu yalikuwa wapi?!
 
Huijui MCC wewe. Si ajabu akaitwa kwanye kamati ya maadili kuonywa huyo........
 
Hiyo ndio CCM mkuu, hatuna ubaguzi! Watu wote kwetu ni sawa bila kujali rangi, itikadi, au mahali anapotoka. CCM oyeeeeeeeee
Hiyo sio ccm huyo ni nape nankayafanya hayo kwa utashi wake na sio utashinwa chama maana chama kinacho jua ni itekaji na mauaji.
 
Ccm, Chadema, CUF NA Act wanachama wake ni watanzania na ni ngugu damu moja, tunaishi nyumba moja bali nyumba tofauti.
Tatizo kuna chama kimoja kina teka wenzie na kikizidiwa mabomu na risas zinatumika hilo ndilo tatizo
 
Back
Top Bottom