LIMBOMAMBOMA
JF-Expert Member
- Oct 3, 2017
- 11,788
- 15,404
inategemea ni ccm ipi?
Kidumu. Na kitaendelea kudumuHiyo ni itikadi ya CCM mkuu...Kidumu chama cha Mapinduzi
I wish ulichoandika kingeakisi ukweliHiyo ndio CCM mkuu, hatuna ubaguzi! Watu wote kwetu ni sawa bila kujali rangi, itikadi, au mahali anapotoka. CCM oyeeeeeeeee
Umeuona upside huo, hebu jaribu kuangalia upande wa pili naoTatizo kuna chama kimoja kina teka wenzie na kikizidiwa mabomu na risas zinatumika hilo ndilo tatizo
usituhusishe wote sema wewe ndo ombaomba na familia yakoYaani ccm mnafurahia kutufanya watanzania omba omba na mnaaiita itikadi !!
Mwanaume kumuomba ela mwanaume mwenzie tena barabarani ni fedheha kubwa sana
We mwehu kweli! Aliyekwambia nakuhusisha nani? Au wewe ndio Ccm mwenyewe? Tuliza wenge hilo au na wewe ulikuwepo hapo barabarani nini kuomba pesa ya ghahawa !?usituhusishe wote sema wewe ndo ombaomba na familia yako
Hahahhaaaa upande wa pili hawana bunduki ndio maana wana sulubikaUmeuona upside huo, hebu jaribu kuangalia upande wa pili nao
Wewe baki expensive, uone kama utaungishwa.Dont be cheap to that extend!....fanya analysis ya mambo mabaya ambayo kawafanyia upizan kwa kipindi chote kwanza..... usiwe kama mwanamke ambaye hata akimfumaia mmewe kwenye kitanda chake akishikwa kiuno kidogo na mmewe husema nimekusamehe!
Ndio mnachowaza kahawa na kashata....kama Viongozi wenu walivyokuwa wamezoea na kulilia kwenda IKULU kunywa chai ya maziwa na vitafunwa.
aseeee!!!Njaa chadema ni kali mno.Wadau
Leo mida ya mchana Mhesh Nape Nnauye alipita maeneo ya soko kuu Arusha karibu na kijiwe cha kahawa maarufu kwa makada wa chadema.
Kilichonifurahisha akiwa ndani ya gari lake makada hao wa chadema bila uoga walimfuata kumsalimia na kisha kumuomba Kada huyo wa CCM angalau awapatie hela kidogo kwa ajili kahawa na kashata.Bila kusita wala kujali itikadi tena kwa moyo wa ubinadamu na kuzingatia hali zao Mhesh Nape aliwapatia vijana hao hela kidogo kisha kuendelea na safari yake.Naamini Mhesh Nape alikuwa kwenye majukumu mazito yakichama lakini aliona nivema tena kwa busara kubwa atumie muda huo mfupi angalao kuwasikiliza na kuwasaidia makada hao wa Chadema.
Ukweli jambo hili ulilolifanya limenifurahisha sana kwani limeonyesha kuwa kwa CCM siasa sio uadui bali maendeleo. Kwa siku ya leo kumekuwa na utulivu eneo hilo na upendo umetawala.
Hongera sana Kada wa Chama cha Mapinduzi na Mbunge wa Mtama.
Karibuni.
Ala kumbe kupewa hela ya kashata na kahawa ndio kuonyesha upendo,mbona mnajidharirisha watu wazima mnaomba omba vihela vya kahawa bure kabisa nyie vijana wa ChademaWadau
Leo mida ya mchana Mhesh Nape Nnauye alipita maeneo ya soko kuu Arusha karibu na kijiwe cha kahawa maarufu kwa makada wa chadema.
Kilichonifurahisha akiwa ndani ya gari lake makada hao wa chadema bila uoga walimfuata kumsalimia na kisha kumuomba Kada huyo wa CCM angalau awapatie hela kidogo kwa ajili kahawa na kashata.Bila kusita wala kujali itikadi tena kwa moyo wa ubinadamu na kuzingatia hali zao Mhesh Nape aliwapatia vijana hao hela kidogo kisha kuendelea na safari yake.Naamini Mhesh Nape alikuwa kwenye majukumu mazito yakichama lakini aliona nivema tena kwa busara kubwa atumie muda huo mfupi angalao kuwasikiliza na kuwasaidia makada hao wa Chadema.
Ukweli jambo hili ulilolifanya limenifurahisha sana kwani limeonyesha kuwa kwa CCM siasa sio uadui bali maendeleo. Kwa siku ya leo kumekuwa na utulivu eneo hilo na upendo umetawala.
Hongera sana Kada wa Chama cha Mapinduzi na Mbunge wa Mtama.
Karibuni.
Duh! Mkuu punguza ukali wa maneno.Dont be cheap to that extend!....fanya analysis ya mambo mabaya ambayo kawafanyia upizan kwa kipindi chote kwanza..... usiwe kama mwanamke ambaye hata akimfumaia mmewe kwenye kitanda chake akishikwa kiuno kidogo na mmewe husema nimekusamehe!