...ukimstudy Nape vizuri utagundua ni mpinzani ambaye ana kahofu kwa Mungu, ni basi tu kuwa yupo CCM. Sasa hili la mikakati ya kishetani ya kuua wanaCDM kwa mabomu na kuwatungia kesi za uongo za ugaidi - Nape anaujua ukweli na kwa hofu aliyonayo kwa Mungu linamtesa sana - tofauti na Mwigulu ambaye sijui hata kama ana dini na kama ana dini nadhani huyo kiongozi wake wa kiroho anatakiwa afanye kazi ya ziada.