Nape tulikulalamikia Bunge live, hukusikiliza

Nape tulikulalamikia Bunge live, hukusikiliza

Ni takribani mwaka mmoja Nape uliamini uko sahihi kutangaza na kulinda kwa nguvu uamuzi wako wa kuzuia Bunge live. Uliamini uko sahihi kwa kuwa uamuzi huo haukugusa marafiki zako, wasanii na wamiliki wa vyombo vya habari. Huo ndo ulikuwa wakati mzuri wa kuonyesaha uelewa wako na ungeweza kujiuzuru. Uliamini ni sahihi bila kujali wingi wa vilio vya wananchi.

Sasa yamekufika ya kufanya utetezi usio na mipaka. Ukaunda kamati ya uchunguzi iliyosheheni marafiki zako, waandishi wa habari, kumchunguza mtu ambaye huna madaraka juu yake! Ulilewa pongezi.

Nashauri: Ukiwa madarakani, usiwe kama mcheza mpira. Unaposhangiliwa usipoteze muelekeo na kuanza kujirusha kuliko uwezo wa mwili, utaumia. Sasa hivi tulia ujiulize nini hujajifunza ktk maisha yako. Usipojielewa ukazidisha manjonjo, tutaanza na kuangalia vyeti vyako tukienda juu.



Polisi wanapovamiwa mtu wa kwanza kuzungumza huwa Mwigulu. Chombo cha habari kikivamiwa mtu wa kwanza kusemalazima atakuwa Nape.
 
Naona episodes za bash boy zimafikia tamati tutaanza za Mzee wa bao la mkono
 
Polisi wanapovamiwa mtu wa kwanza kuzungumza huwa Mwigulu. Chombo cha habari kikivamiwa mtu wa kwanza kusemalazima atakuwa Nape.
Polisi na clouds ni vyombo tofauti. Polisi ndo wizara, clouds siyo wizara. Wizara inaweza kuifungia clouds, wizara haiwezi kuifungia polisi. itakuwa ni cannibalism. Tatizo siyo kusema, unasema nini? USipojua cha kusema, unakuwa matatani.
 
Nape fufua CCK(J)yako au jiunge na UKAWA upate faraja ya moyo wako.
 
Nilimkanya sana ,hakunielewa,acha afe kibudu[emoji16][emoji16][emoji16]
 
Nape fufua CCK(J)yako au jiunge na UKAWA upate faraja ya moyo wako.
Mwambieni atafute ajira. Siasa siyo taaluma. Kama hana taaluma ndo tutaelewa uzembe wake shuleni.
 
Back
Top Bottom