Ni takriban mwaka mmoja Nape uliamini uko sahihi kutangaza na kulinda kwa nguvu uamuzi wako wa kuzuia Bunge live. Uliamini uko sahihi kwa kuwa uamuzi huo haukugusa marafiki zako, wasanii na wamiliki wa vyombo vya habari. Huo ndo ulikuwa wakati mzuri wa kuonyesaha uelewa wako na ungeweza kujiuzuru. Uliamini ni sahihi bila kujali wingi wa vilio vya wananchi
Sasa yamekufika ya kufanya utetezi usio na mipaka. Ukaunda kamati ya uchunguzi iliyosheheni marafiki zako, waandishi wa habari, kumchunguza mtu ambaye huna madaraka juu yake! Ulilewa pongezi!
Nashauri: Ukiwa madarakani, usiwe kama mcheza mpira. Unaposhangiliwa usipoteze muelekeo na kuanza kujirusha kuliko uwezo wa mwili, utaumia. Sasa hivi tulia ujiulize nini hujajifunza ktk maisha yako. Usipojielewa ukazidisha manjonjo, tutaanza na kuangalia vyeti vyako tukienda juu.
Nitafute unafuu kwa lipi aswaaUchangiaji wa aina hii haukupi nafuu. Unaongeza uadui na wasukuma wote utadhani wote ni mawaziri au marais. Just a piece for proper reasoning.
THat will be too late. Alistahili atueleze wakati ule. Kama alificha hatutahitaji tena kuambiwa na hasa wakati huu ambao kapigwa nje ya baraza.Hapana alishurutishwa hivyo na mkubwa wake. Huenda kuna siku atayasema yalio na ukweli kuhusu hili.
Msukuma wa ntwara labdaHivi Nape sio msukuma?????
Goli ya Kichwa...Jamaa kapigwa goli la mkono.
ni kweli ila nape alitudanganya na akatoa sababu zake za kijinga sana!mkuu hukusikia alisema mwenyewe kuwa yeye yaani mkuu ndiyo aliamuru lisiwe live
Bado mapigo yanaendelea mapigo kumi. Namtabili polepole kufukuzwaWenye kufikiri tuliwaambia akishawanyamazisha UKAWA atawageukia ndani ya nyumbani yake (CCM) watu hawakuelewa haraka, Leo nchi nzima hatuna mtetezi kwa baba.
1. Bunge iko gizani na wameshatishwa.
2. Mhimili ule wa sheria nako si shwari.
3. Police nayo ndiyo inatumika vibaya
Twafwaaaa
ChingaHivi Nape sio msukuma?????