Nape tueleze; serikali imeishiwa?

Kwanza bahati mbaya sana kwako kuwa haya ni mawazo yako binafsi!! Halafu huna uwezo wa kushawishi kura hata moja kwa hoja zako na ndo maana huwezi hata kutumia jina lako halisi na Id yako halisi kwahiyo mtazamo wako hauna madhara kwa Imani ya Watanzania kwa CCM! Enddelea kuamini hivyo, lakini usinune mwaka 2014 na 2015 Watanzania watakapofanya uamuzi usioudhani!
dah kaka unaangusha watu , kweli hayo ni mawazo yake lakini ni bora ungemwambia kama alivyosema ni uongo au mmefanikisha kwa kiasi gani lakini kumwambia asinune si sahihi . Watu hawaikubali ccm sababu hawaoni mnalolifanya inawezekana mnafanya makubwa na mazuri lakini watu hawayajui sababu wakiuliza hawajibiwi badala yake wanashambuliwa. Ingekuwa poa kama ungetoa majibu ya maswali we ni kiongozi mkubwa watu wanategemea utawaambia mengi ya maana na jinsi mlivyo na mipango ya kujenga nchi kuliko kuwakashifu
 
Hahahahhahahahahahahahaaaaaaaaaa!

Hayo ma hahahahahaaaaa umedesa kwa le mutuz au ni mipasho anayowafundisha JK... You have to act like a man, sio hayo mambo ya kanga, otherwize kaa kimya....
 
Muda wa kuwatupia kuku punje bado kidogo hadi 2014 mwishoni, halafu wote watakimbilia kunakopatikana vitambaa, mahindi, muziki nk ndo za walala bongo
 
Kwanza bahati mbaya sana kwako kuwa haya ni mawazo yako binafsi!! Halafu huna uwezo wa kushawishi kura hata moja kwa hoja zako na ndo maana huwezi hata kutumia jina lako halisi na Id yako halisi kwahiyo mtazamo wako hauna madhara kwa Imani ya Watanzania kwa CCM! Enddelea kuamini hivyo, lakini usinune mwaka 2014 na 2015 Watanzania watakapofanya uamuzi usioudhani!
"COPIED" And will be a rejea 2014/2015
 
Utakuwa umewasaidia sana maana hawachelewi kuruka hawa Magwanda

mkuu Nappe bado unaamini Chenge na Lowassa ni mafisadi wajivue gamba.? Maana tumeona juzi Rais akimsafisha Chenge na rada kwamba pesa tulizozani ni rushwa kumbe yalikua makosa ya kiuandishi kwenye mkataba ndio maana pesa imerudishwa,hatujakaa sawa tumeshuhudia Rais akigawa ng'ombe jimboni kwa Lowassa,na tumemwona Lowassa akimsifia rais kwamba ni mwadilifu,mkweli na jasiri.! swali kwako mkuu nani wa kujivua gamba kati yako na uliowaita mafisadi.??
 
Nape kwa ufupi anatakiwa aseme - TUMETHUBUTU TUMESHINDWA TUACHIE MADARAKA

Huyo Nape heri angesema kesi ipo mahakamani haturuhusiwi kuijadili,hapo angeeleweka zaidi!!!!sio kumwaga pumba hizo!aibu!
 
Utakuwa umewasaidia sana maana hawachelewi kuruka hawa Magwanda

nape jipime angalia yote uliokuwa ukionge hapa mtandaoni na majukwaani halafu uangalie ulipo......mie binafsi niekushusha thamani kazi yako ni ya mdomo lakini mpaka sasa hujajipanga wala husimamii unachoongea leo unasema hiki kesho wewe mwenyewe unakipinga
jitahidi haupo sawa labda kama unazungumza upate posho tu lakini kwa msaada wa kuwasaidia vijana nchi hii umekwama

viongozi wetu wamekuwa walalamishi badala kutenda...inakuwaje raisi au wewe uanze na kusema nchi ni masikini haina uwezo lakini budget kubwa mmejipangaia posho nzuri na mnaishi maisha bora mfano kuna watu wanaishi hapa tz house ya bilion mshahara m20 huyu ni serikali hii inayosema haina pesa mmeshindwa anzeni upya mjipange

 
Back
Top Bottom