Saint Ivuga
JF-Expert Member
- Aug 21, 2008
- 54,663
- 59,000
Bao la mkono lililomuingiza JPM madarakani Nape analifahamu vizuri sana na anajua mbinu zilizotumika. Sasa hivi jamaa kawageuka. Nape badae una press conference ndio wakati muhimu wa kutiririka.