Nape Nnauye(2016): Samaki akifunga mdomo anaswi na ndoano, jifunze kufunga mdomo

Return Of Undertaker

JF-Expert Member
Jun 12, 2012
4,572
26,885
[HASHTAG]#NUKUU[/HASHTAG] "Samaki aliyefunga mdomo wake kamwe hawezi kunaswa na ndoano ya mvuvi. Jifunze kufunga mdomo unapokuwa katikati ya wabaya wako"-Waziri wa Habari,Sanaa na Utamaduni Mhe. Nape Nnauye - Oktoba 11, 2016



17022348_1596510893700144_5535783541755008521_n.png


Baada ya kuanza kusambazwa kwny media, Waziri Nape amekumbusha kuwa kauli hii si leo wala jana:



 
Kweli bana asingenaswa bwa Daudi Bashite tatizo ana mengi yakusema ingawa mdomo umejaa maji kwahiyo kalazimika kusema hivyo hivyo na sasa kanaswa yupo nchi kavu.
 
Hilo ni dongo kuwa kama angekaa kimya haya majanga ya vyet yasingemkuta...jamaa anajiamin sanabyan anampiga dongo kipenzi cha boss wake!
 
Back
Top Bottom