Nape refutes Mnyika; TBC takes debate off air

Huyu habarindiyo hiyo either ni Mnyika mwenyewe au anatumiwa na Mnyika na hasa ukichukuliwa kuwa Mnyika na Nape ndiyo wagombea watarajiwa jimbo la ubungo,lengo lake ni kutaka kutuaminisha kuwa Mnyika ni zaidi ya Nape.

Mkuu kakulwa umesoma hiyo habari lakini! Naona kama unaongea kinyume:

Contract as from http://www.lectlaw.com/def/c123.htm

 
eti nini? kijana nape anaamini kwamba zile ahadi na
kujinadi kwa wagombea kwa wapiga kura sio mkataba!
nachoka kabisa.

kwa hiyo nape anaamini mchaguliwa hawajibiki kutekeleza
yale anayoahidi na pindi akifanyahivyo ni kawatendea hisani
wapiga kura.

kweli safari bado ndefu sana.
 

Well argued mate! That's why in a true democracy we see change of governments when those in power fail to deliver.
 
The notion that Nape refutes that there is a contract between the electorate and the candidate underscore the shocking state of irresponsibility among our leadership, even the so called "Young Turks".

I mean kama wewe kiongozi unagombea madaraka hutaki hata ku acknowledge kwamba utawekwa responsible kwa ahadi zako, tutegemee nini kutoka kwako? Kwa nini unatoa ahadi?

Yaani mimi nilifikiri hii thread ni kuhusu some nuanced complicated issues, kumbe ni huyu mjinga mjinga Nape anajivua nguo hadharani jinsi gani alivyo parochial kihivyo?

What does he think this is, Communist China?

Nimemshtukia kwamba jamaa hana msimamo, lakini hapa ndipo kajidhihirisha rasmi.

Kama huamini kwamba kuna contract, hiyo manifesto ni nini? Hizo ahadi ni nini? uchaguzi wa nini?

No wonder hawakeep their own words, kwa sababu fundamentally hawaamini kama kuna ulazima wa kufanya hivyo, hawaamini kama kuna contract.

Mnyika anaongea kitu very basic lakini vichwa tope hawajui hata cha kusema, achilia mbali cha kufanya.

Nape inabidi arudi darasani, achukue kitabu na kujielimisha au akae na watu wanaoelewa mambo, anajiaibisha kwa utupu anaoutoa.
 
Nape naye ni msomi ati...na ni next generation leader

Contract with America...anyone remember that?

"The Contract with America was a document released by the United StatesRepublican Party during the 1994 Congressional election campaign. Written by Larry Hunter who was aided by Newt Gingrich, Robert Walker, Richard Armey, Bill Paxon, Tom DeLay, John Boehner and Jim Nussle, and in part using text from former President Ronald Reagan's 1985State of the Union Address, the Contract detailed the actions the Republicans promised to take if they became the majority party in the United States House of Representatives for the first time in 40 years. Many of the Contract's policy ideas originated at The Heritage Foundation, a highly influential conservative think tank."

Source: wiki
 
Wakuu Reverend na Mwanakijiji;

John Mnyika mwenyewe ametapatapa ndio maana akaingiza maneno kama "Manifesto" Na ndio maana kama mmesoma postin yangu,manifesto siyo a legally binding contract,kwanza sidhani hata kama manifesto means contact,ila manifesto ni decleration of intentions, na ndio maana nimesema kuwa tunataka pia tuyasikie maoni ya Nape kwamba ni kivipi hizo contract zitakuwa enforced ama hata kuleta any difference hence accountability...Kwasababu nionavyo mimi hapa contract zinazozungumziwa si zile ambazo ni "Legally binding contracts" ambazo nadhani kama mgombea akitoa ahadi na akashindwa kuzitimiza basi anaweza kufunguliwa mashtaka,pointi yangu ndipo ilipokuwa kuwa.

Kuhusiana na relevance ya pointi ya Mnyika nilisha ia analyze hapo juu,kuwa kwenye current political contracts,mwananchi ndiye mwenye kumhold accountable kiongozi pale asipotimiza ahadi zake kwa kutokumpigia kura tena,je hilo lina constitute to a "Legally binding contract?"

Kwasababu if that was the case then tunaweza kuwaburuza mahakamani viongozi wanapotoa ahadi hewa?

Yani kama ikiwezekana nifungue kesi dhidi ya JK kuwa hakuna maisha bora kwa kila Mtanzania kama alivyoahidi miaka mitano iliyopita?

Naomba tuelimishane zaidi kwenye hili waungwana.
 

Unapoongea kama mwanasiasa ni muhimu kupima maneno na kuyaangalia ina all possible interpretations na the bigger picture /context.

Nape kusema hakuna contracts ni blunder.Period.

Katika ku asses uelewa kama Mnyika anasema katika uchaguzi kuna contract na wananchi na Nape anabisha basi Mnyika anashinda hands down.Period.
 
Mzee wangu Reverand Kishoka; hapo chini ni ile kauli ya relevance ambayo imepelekea nyie kuona kwamba alichosema Myika kina relate ama ni relevace
na mimi ndiyo nika irufute kwasababu contract kuhusu wanayoyafanya wananchi didi ya accountability or the breach of a contact ni "none existence" at least kwenye siasa zetu za bongo ao wananchi...ccm inapeta tu all the time,wananchi hawaoni kama ni kweli kuna kitu kama "Mkataba" Kwasababu mawazoni mwa mwananchi ni kwamba ukivunja mkataba unapelekwa mhakani,hiyo ndo experience yao.

Issue hapa sasa ni kuhakikisha kuwa wananchi wana nguvu zinzotakiwa kuwa hold accountable viongozi intimes of a breach of contract....Na ndio maana nikasisitizia kuhusu a "Legally biniding contract"


Njabu da Dude said:
Mnyika displayed broad and thorough understanding of the subject matter under discussion and was relevant
 
Wakati huu nampa benefit Nape kwa sababu tunachokisoma sijui kama ndicho hasa alichokisema au alichomaanisha. Kwa sababu anaweza kuwa technically right kama anashikilia maana ya Mkataba wenye nguvu ya kisheria (legally binding contract). Lakini kwa maana ya makubaliano yenye ridhaa ya kutekeleza mapatano ya pande mbili atakuwa amekosea kutokukubali kuwa uchaguzi ni mkataba.

Tusimhukumu kwa ukali kwa sababu ninachokiona ni jaribio la kuwagonganisha vijana hawa wawili waumizane mapema. Binafsi ningependa sana wote wawili waende Bungeni na wasiangushane kwa sababu ya neno "is".
 

Nakubaliana na wewe,lakini akija hapa na kusema alimaanisha "Legally binding contract" Then ana point.
 
Hapa kama kinachoripotiwa ni sahihi, Nape amepata "Freudian slip"

Amesema kile anachofeel moyoni hasa, ameweka all calculations na political correctness aside. Albeit unintentionally, which takes away any potential credit for being forthcomingly candid.

Amesema kwamba hamna contract, nichagueni halafu mkishanichagua nitaamua kama niwaletee maendeleo kama nilivyoahidi kwa hisani yangu mwenyewe tu, au niwafisadi kama ninavyotaka.

Lakini msitake kuniletea upuuzi wa kwamba tuna contract, contract gani? First of all I am a Nnauye and this shyt is my birthright, contract gani?

Contract gani?
 

Hakuna contract,ni manifesto kama anavyosema Mnyika ambaye anadai manifesto ni neccessarily a contract....Which is certainly untrue, if he proves me wrong i will respect it with hoja kwa hoja....Je wewe unadai mikataba hiyo kati ya ahadi za mgombea na mwananchi ni za kisheria?Naomba ujibu hilo.
 
Nakubaliana na wewe,lakini akija hapa na kusema alimaanisha "Legally binding contract" Then ana point.
Katika sheria, kuna kitu kinaitwa "the letter of the law" halafu kuna kitu kingine kinaitwa "the spirit of the law"

Mwanasiasa atakayekuja hapa na kuniambia kwamba election si legally binding contract atakuwa legally right kwa maana ya kwamba yuko sawa katika legalese.

Lakini ukija katika bigger picture, maswala ya leadership na accountability, maswala ya integrity, hii kauli, hata kama anazungumzia "the letter of the law" instead of "the spirit of the law" itakuwa ni political suicide.

Kuna law na justice, na justice si lazima itiririke kutoka katika law. Naamini hawakwenda kwenye TV kudiscuss academic abstracts, wameenda kujinadi kuhusu matatizo ya wananchi.

Sasa kama mwanasiasa katika kujinadi ananiambia kwamba hatakuwa accountable (basically) then to me that is commiting political suicide right there.
 
Ingependeza tuone footage ya huo mdahalo ili tuweze kujua alitamka hivyo ktk muktadha gani. La sivyo nadhani mtakuwa mnacheza sarakasi ya maneno tu
 

Taratibu mkuu,soma kwa makini,Nape alisema hivi...Mkuu soma post by post kabla hazija accumulate uwe na kisingizio that they were too much to follow up...Kwasababu mbali na blunders zote za mafisadi mbona wanachaguliwa tena na tena?Ama wananchi ndiyo corrupt judiciary system under the ballot box?
He further called for review of the existing systems to ensure that contracts are made between the politicians and the people.
 


Manifesto ni contract, ni social contract. Inaweza kuwa si legally binding contract (that is also debatable, in a lawsuit society kama US unaweza kupigwa lawsuit kwa kutotimiza election promise) lakini ni contract.

So far issue si whether hii ni "legally binding contract" or not, ni whether it is a contract or not.

Yaani Nape anajionyesha alivyo low tu.
 
Nilikiangalia kile kipindi kwenye TBC na watu walioonyesha uelewa wa masuala ya vijana na nini wajibu wao kwa Taifa ni Eyakuze na Mnyika. Nape hakuonesha ujuaji wa nini vijana as a homogenous group wanatakiwa kulifanyia Taifa; yeye bado alikuwa na ushabiki wa CCm mbele kabla ya Taifa!! Mnyika na Eyakuze were stars lakini huyu Nape ni product ya Mafisadi wa CCm kwahiyo hata kama anataka kumvaa Mnyika katika ushindani wa ubunge Ubungo ajue tu kuwa amefulia!!Nilishangaa kuwa huyu Nape hata kiingereza chake ni cha kubabia babia tu kama Kanumba ingawa CCm imejitahidi kumpeleka kusoma India!! Alikuwa anakivunja kweli kiingereza afadhali kama wanavyotoa hoja wengine vipindi hivi viwe kwa kiswahili!!
 
Kumbe Nape naye ni bogus; inaelekea anataka politics kwa kuamini kuwa akiwa huko hata akifanya madudu hatafanyiwa lolote kwa kuwa anadhani kuwa hakuna kipimo cha utendaji wa politicians. Ni view hii ya politicians wetu ndiyo iliyotuleta hapa kwa vile waoa wanaamaini kuwa akishafiki huko mbele basi hana mkataba na raia tena. Upuuzi kabisa huo.


Mnyika was 100% right; nawashangaa sana wanaopinga ukweli huo. Huyu Nape anayedai kuwa IN POLITICS...blah blah blah.... sijui ana maana gani wakati tunajua kuwa marekani huwaondoa wanasiasa wao madarakani wanaposhindwa kutekeleza ahadi zao hata kabla ya muda wao haujaisha; kinachotakiwa ni utaratibu wa kisheria kufuatwa kufanya hivyo. Ndiyo maana wabunge na magavana wote wa marekani wana utaratibu wa kuwa na websites na kupeleka Newsletters kwa waananchi wao kuelezea walichofanya kulingana na ahadi zao; vile vile wana wasadizi wanaokaa majimboni kuhakikisha kuwa wanawafahamisha wananchi kila jambo linalofanywa na mbunge wao.

Akumbuke kuwa Gavana Schwarzenegger aliingia madarakani huko California baada ya Gavana aliyekuwa Gray Davis kuondolewa madarakani miaka miwili kabla ya muda wake ilipoonekana kuwa alitoa ahadi za uiongo wakati wa uchaguzi uliokuwa umemwingiza madarakani.
 

Hapo maana yake ni kwamba haamini kama zilizopo ni contract.

Huyu jamaa yuko misguied, hajui maana ya contract. Na zaidi ya yote haelewi tofauti kati ya legal contract na social contract, na haelewi tofauti kati ya "the pirit of the law" na "the letter of the law" wala "law" na "justice".

Anaonekana kufikiri kwamba the letter of the law ni muhimu kuliko the spirit of the law bila uelewa kwamba the spirit of the law ndiyo inayozaa the letter of the law.

Watu kama hawa watatupotezea muda na unnecessary na possibly costly abstraction na academic debate wakati issues zinalala.

Mnyika katika hili anaelekea kuelewa nini ni muhimu right from the bat, thats whats up, thats what we need.We do not need some Thabo Mbeki types of academic denying the obvious, like HIV, does not exist.

Thats whats up.
 
No contract indeed so what is the meaning of votting when it come to elections.....

Hypothetically if there were no votes cast what would be the out come of an election? The incumbent continues?

Ah.........
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…