anacheza namba ngapi?
huwa anapokezana namba na mbuyi twite
anacheza namba ngapi?
anacheza namba ngapi?
Winga mzururaji na sio mkabajianacheza namba ngapi?
nape ndio nani jamani? mbona mimi simjui!
Ameshindwa na lile
Sha......ngi, angemuweza Mnyika huyo??kichwa kimejaa maji ,apambane
kwanza na masha......ni yao halafu aje tumchagulie kata ya kugombea
Udiwani Bagamoyo.
Mkuu nimependa avatar yakoLakini tuwe wakweli,
Nape ameongea vizuri na ameonyesha upeo na hekima.
Aidha, tusitarajie mtu wa chama tawala akifagilie chama cha upinzani.
Ameonyesha ustaarabu katika maelezo yake !