Nape Nnauye mgongo haupindi?? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nape Nnauye mgongo haupindi??

Discussion in 'Jamii Photos' started by Leornado, Nov 27, 2011.

 1. L

  Leornado JF-Expert Member

  #1
  Nov 27, 2011
  Joined: Nov 12, 2010
  Messages: 1,534
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 0
  KATIBU WA NEC,ITIKADI NA UENEZI CCM NAPE NNAUYE AKIWA SAMBAMBA NA UJUMBE WA MJUMBE WA KAMATI KUU YA CHAMA CHA KIKOMONISTI CHA CHINA CPC LIU YUNSHAN AMBAYE PIA NI MKUU WA IDARA YA UENEZI YA CHAMA HICHO KATIKA KUTOA HESHIMA ZA MWISHO KWENYE ENEO LA MAKABURI YA WATAALAMU WA KICHINA,ENEO LA MAJOHE,GONGO LA MBOTO,JIJINI DAR ES SALAAM JANA...CCM OYEEEEEE  [​IMG]
   
 2. driller

  driller JF-Expert Member

  #2
  Nov 27, 2011
  Joined: Aug 25, 2011
  Messages: 1,119
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  ndio maana cameroon hakusita kusema ile issue aliyoisema coz sisi tunapenda kufanya kila kitu ili tuonekane tuko juu na matokeo ndio hayoo kwenda kuposa dume jenzio..!
   
 3. c

  cheichei2010 JF-Expert Member

  #3
  Nov 27, 2011
  Joined: Sep 18, 2010
  Messages: 932
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  hana uhakika na wanyuma yake,inaelekea amewahi kutaka kuliwa ndio maana ameinama kimachalemachale.si unajua hata mwz aliwaambia atawashikisha,ukuta?ni mzoefu sana kweche hii michezo..
   
 4. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #4
  Nov 27, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,255
  Likes Received: 19,383
  Trophy Points: 280
  anaogopa anafikiri labda yupo ZANZIBAR..WEWE UKIENDA PEMBA UKIAMBIA UINAME UTAKUBALI?
   
 5. Shine

  Shine JF-Expert Member

  #5
  Nov 27, 2011
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 11,514
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Analeta usharobaro wakati wenzake wanamaanisha
   
 6. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #6
  Nov 27, 2011
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,172
  Likes Received: 862
  Trophy Points: 280
  kitambi......................
   
 7. Duduwasha

  Duduwasha JF-Expert Member

  #7
  Nov 27, 2011
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 5,130
  Likes Received: 2,153
  Trophy Points: 280
  Nimecheka Sana
   
 8. MKUNGA

  MKUNGA JF-Expert Member

  #8
  Nov 27, 2011
  Joined: Dec 10, 2009
  Messages: 443
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Tufanye mazoezi jamani
   
 9. Duduwasha

  Duduwasha JF-Expert Member

  #9
  Nov 28, 2011
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 5,130
  Likes Received: 2,153
  Trophy Points: 280
  Inaelekea wale wanaopenda kuinamisha watu ili wawape misaada kwa huyu Jamaa kazi wanayo na wanaweza dai chanchi yao

  [​IMG]
  Mazoezi ya Kuinamishwa Upate Msaada
   
 10. bombu

  bombu JF-Expert Member

  #10
  Nov 28, 2011
  Joined: Jun 8, 2011
  Messages: 1,134
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 145
  Lol! nimecheka sana
   
 11. ALLEX

  ALLEX JF-Expert Member

  #11
  Nov 28, 2011
  Joined: Mar 15, 2011
  Messages: 2,046
  Likes Received: 80
  Trophy Points: 145
  mwekeeni ukuta mbele...
   
 12. Sniper

  Sniper JF-Expert Member

  #12
  Nov 28, 2011
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 1,944
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  Kama hata hiyo ni shida, je kuinama kufunga kamba za mguuni ataweza? Ndo mwanzo wa kuanza kusaidiwa mpk kitandani.

  [​IMG]
   
 13. Nico1

  Nico1 JF-Expert Member

  #13
  Nov 28, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 746
  Likes Received: 138
  Trophy Points: 60
  Pinda hilo gongo.
   
 14. Elia

  Elia JF-Expert Member

  #14
  Nov 28, 2011
  Joined: Dec 30, 2009
  Messages: 3,442
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  Cha uvunguni lazima kimshinde huyu
   
 15. K

  Kyachakiche JF-Expert Member

  #15
  Nov 28, 2011
  Joined: Feb 16, 2009
  Messages: 910
  Likes Received: 62
  Trophy Points: 45
  Vipi dressing code hapo!
   
 16. Jeji

  Jeji JF-Expert Member

  #16
  Nov 28, 2011
  Joined: Jun 28, 2011
  Messages: 1,981
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  na hapo inawezekana yeye ndio akawa kijana kuliko wote walio pinda migongo.
   
 17. MR. DRY

  MR. DRY JF-Expert Member

  #17
  Nov 28, 2011
  Joined: Oct 5, 2011
  Messages: 639
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 35
  Mama yake hakumfundisha kuchutama!?nukta
   
 18. OTIS

  OTIS JF-Expert Member

  #18
  Nov 28, 2011
  Joined: Sep 7, 2011
  Messages: 2,144
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Wanaume wanakuwa wambea.
  OTIS
   
 19. Mzee

  Mzee JF-Expert Member

  #19
  Nov 28, 2011
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 12,969
  Likes Received: 2,963
  Trophy Points: 280
  Acheni chuki nyie.
   
 20. Duduwasha

  Duduwasha JF-Expert Member

  #20
  Feb 19, 2012
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 5,130
  Likes Received: 2,153
  Trophy Points: 280
  Chuki kivipi? pinda mgongo ni Heshima kubwa Sana Kwa Wachina... na Ni Dharau Sana Usipopinda Mgongo wanaweza kukulazimisha pia
   
Loading...