Nape Nnauye kama January Makamba, maji ya shingo yamfika. Amuangukia Rais Magufuli baada ya kumnanga

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akifurahia jambo pamoja na Mbunge wa Mtama Nape Nnauye aliyefika Ikulu jijini Dar es Salaam kwa ajili ya kuomba msamaha mara baada ya kuzungumza na wanahabari. Hii ni baada ya mazungumzo yao pamoja na kusamehewa kosa aliliofanya miezi michache iliyopita.
















Pia soma;
If you can't beat join him
 
Mwe.hu wewe, nape ndo mpiga kura pekee kusini? kama kuna jambo litanifanya nisimwelewe JPM ni kuwashirikisha hao wapuuzi kwenye siasa za CCM tena, kusamehewa na JPM as a person ni jambo moja, kusamehewa kwa kukiuka kanuni na taratibu za chama na kusamehewa na chama ni swala jingine.

We unaona kuliko yeye? Amepima bila hao hawezi vuka mto .uliona wapi msamaha mbele ya camera
 
Hee hee. Mnaanza kuhamisha magoli sasa. Hata aibu hamna. Mimi nilishawambia huu mtindo wa upinzani wa kushabikia mtu yeyote anayempinga rais Magufuli utazidi kuwaporomosha. Hawakujifunza kwa kina Lowassa, Wema na wengineo wengi? Chadema wataishia kutumika kama choo tu. Subirini na Nyalandu ni muda tu atawatoroka.
CDM inaingiaje hapo?Mambo ya CCM pambaneni na hali zenu huko huko CCM!
Magufuli akitoka madarakani ndio atajua wangapi walikuwa wanampaka mafuta kwa mgongo wa chupa!
Ni wanaCCM wengi tu huko faragha wanamnanga ila sema hawajabainika!
 
Magufur Anauwezo wa kuwaengua kwenye mchakato wa kura za maoni 2020 na akampitisha mgombea namba2 na 2025 wakigombea tena kwenye kupitishwa na ccm ili wawe wagombea ubunge magufur ana wahengua tena , kwaiyo January na Nap wameliona ilo wangejifanya manunda ubunge wageusikia kwe Redio tu, ingebid wasubili mbaka 2030 magufur atakuwa ana nguvu tena, Maana 2025 kipind cha uchaguz magufur anakuwa bado Raisi na mwenyekiti wa chama.
Kweli kabisa. Maana ameweza kumtoa January uwaziri. Asingeshindwa kumkata jina 2020.
 
acha awanyooshe na kuwadhalilisha walipiga bao la mkono sasa mkono umepata mimba walele mimba hiyoo.

mpka amalize awamu yake wataongea lugha zote.
 
Nape ndo anamuhitaji Magu. Nyie huwa mnasema CCM huwa inaiba kura. Sasa kama wanaweza kushinda kwa kuiba kura kwa nini wamuhitaji Nape?
Nape ndo anamuhitaji Magufuli.
Kuiba kuna watu maalumu si kila MTU.Angekuwa awahitaji asingewasamehe.Uchaguzi upo karibuni soon pesa zitaanza kuonekana mtaani msahau shida zetu.Usicheze na mwanasiasa.
 
Back
Top Bottom