Nape nnauye: Huwa unahutubia au mpiga kelele?

Yule Nape chimbuko lake amekulia kwenye 'Uchipukizi' .....kisha akabandikwa madaraka makubwa kushinda akili yake...sasa ndio anaundeleza ile tabia ya kichipukizi (yaani ule ukasuku ukasuku wa ku cream mambo bila kufafanua)...kupayayuka payuka marisala na viapo.....ameshindwa kuelewa kuwa kuna kitu kina inaitwa hotuba...kuwa ni lazima uzungumze juu ya mada inayowahusu walengwa...Kwa kifupi anahitaji kupikwa ili aendane na wadhifa wake ndani ya chama chake. Vinginenevyo tuendelee kukereka na habit za ukasuku ukasuku wake wakichipukizi.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom