Nape nnauye: Huwa unahutubia au mpiga kelele?

Elly B

JF-Expert Member
Jan 11, 2011
1,194
1,195
Kwa waliopata bahati ya kuona mtu aliyelala anapoongea (kuota), au mtu ambaye malaria imepanda kichwani, anaweza kunielewa zaidi ntakaposema kule ni "kuweweseka" (Kuongea bila kujua maana). Kusema anapiga kelele naona kama bado ni understatement.
 

Peter jaluo

JF-Expert Member
Nov 10, 2013
1,751
1,195
Anataka naye anekane nimwana siasa cpendi huyu jamaa vijana wa Lumumba km mpo mpeni msg hiyo
 

fikirikwanza

JF-Expert Member
Jan 25, 2012
7,448
2,000
Nape ni MPUMBAAVUU, kama LISSU anatibisha mke wake Ulaya ni kwa sababu CCM imeweka muundo misingi mibovu kwa jamii, ANAWAHUTUBIA WATU WA IRAMBA anazani ni wajinga hawajui kuchambua mambo??? Kama serikali inalipa mbunge wa katiba 300,000 kwa siku, na mwalimu 180,000 kwa mwezi walitaka mbunge afanyeje kwenye huduma mbovu za jamii??? anachofanya lissu na wengine ni kuthibitisha mfumo mbaya wa CCM,CCM OUT ndo maisha bora yapatikae
 

maswamediacentre

Senior Member
Jan 7, 2014
161
195
Nape, anaiharibu ccm makusudi ili baadaye akajitulize ktk chama alichokiasisi, kikashindwa kabla ya takeoff. Na kimesajiliwa kwa jina act.
 

mwenyenchi

JF-Expert Member
Nov 10, 2011
658
250
Anavyopayuka hovyohovyo kama mlevi ipo siku 'atapumua' hadharani. Hamwoni 'mwenzake' Mwigulu anavyoongea taratibu na kwa pozi?
 

OKW BOBAN SUNZU

JF-Expert Member
Aug 24, 2011
30,410
2,000
Jana nilipomsikia kwa mara ya pili akipayuka nilitaka kupost thread humu.Lakini nikapata majibu kuwa Anaitwa VUVUZELA,nikaridhika
 

maswamediacentre

Senior Member
Jan 7, 2014
161
195
Nape, anaiharibu ccm makusudi ili baadaye akajitulize ktk chama alichokiasisi, kikashindwa kabla ya takeoff. Na kimesajiliwa kwa jina act.
 

gwijimimi

JF-Expert Member
Sep 24, 2011
7,276
2,000
Kwa waliopata bahati ya kuona mtu aliyelala anapoongea (kuota), au mtu ambaye malaria imepanda kichwani, anaweza kunielewa zaidi ntakaposema kule ni "kuweweseka" (Kuongea bila kujua maana). Kusema anapiga kelele naona kama bado ni understatement.

Kupopoma hahahah
 

WILLAFRICA

JF-Expert Member
Nov 12, 2013
4,033
2,000
Huyu mtu mimi nilishapuuza zamani sana,maana kwa umakini na kujenga hoja aisee hana kitu yaani bogazi kabisa huyu mmbwatukaji .
Kunifikia naamini watu dizaini yake wawe kama kumi,au kumi na tano hivi.
 

Getstart

JF-Expert Member
Oct 13, 2012
6,660
2,000
Kiukweli huwa simwelewi, hasikiki, unatuumiza masikio kwasababu hujui kuhutubia bali wewe ni mpayukaji na mpiga kelele tu.
Kusikika anasikika ila tu sauti anayotoa inaweza kuwa si ya kupendeza masikioni. Sijui kama wanasiasa udhani kuwa ukihutubia kwa 'kupiga kelele' ndiyo unaonyesha uanasiasa. Nina hakika ukitoa hotuba kwa sauti yako ya kawaida bado watu watakuelewa tu. Lakini kwa upande mwingine pengine wako sahihi maana tu naona waubiri wengine wa dini pia upayuka hivyo hivyo katika maubiri yao.
 

OLESAIDIMU

JF-Expert Member
Dec 2, 2011
19,161
1,250
Kama juzi kati hapo Singida! !!!!
Nilidhani labda ni mimi tu.

Kama utakuja kusoma mkuu hebu rekebisha uongeaji
 

Ptz

JF-Expert Member
Aug 23, 2011
522
500
aliyemtuma ndo alimwelekeza awe anaongea vile na pia ni staili mpya kupunguza mtoto mdogo kama nape anajiachia kitambi kama ananahiii.......
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom