Nigrastratatract nerve
JF-Expert Member
- Sep 4, 2019
- 1,407
- 3,960
Nape Nnauye ni mfano mbaya wa Viongozi wa Tanzania napata Mashaka hata namna alivyopata nafasi kubwa serikalini hii inamaanisha kuwa Kuna Nepotism kubwa sana serikalini kimsingi Nape Moses Nnauye hakutakiwa kuwa hata balozi kwa sababu ni kiongozi mwenye mdomo mchafu uliojaa matusi.
Mara kadhaaa tumeshuhudia Nape Nnauye akimtukana Magufuli tena kwa kumdhalilisha anapata wapi credibility ya kumdhalilisha Mheshimiwa Antipas Tundu Lissu.
Nape amenukuliwa Mara Kazaa akimtukana Lowasaa lakini hakuona aibu.
Nape kwa nini hajamtukana na kumpinga Mange kimambi ambaye kutwa kila kukicha anamdhalilisha Mheshimiwa Rais na tunasema ajitafakari sana huyu.
Pia soma Nape Nnauye: Nashangaa Watanzania wanaokwenda kusikiliza upuuzi wa Lissu. Tumkemee, tumtenge na tumlaani