Escrowseal1
JF-Expert Member
- Dec 17, 2014
- 4,444
- 4,235
Nape in short alitakiwa kuwa anapambana na korosho kwa kariba yake. Kwanza hana guts za kumface Mange angemvua bukta hadharani. Pili amemtukana sana Mwamba Magu , Tatu hana kifua cha kumface Antipus kwani huyu kwa sasa ni global figure . na bado kamwita barozi polepole kiroboto ati hiyu nae anatikisa kichwa kwenye baraza . Pfuuu .