Daudi Mchambuzi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 62,204
- 128,021
sasa kama huu ndio uelekeo wenyewe unadhani kwanini katibu mwenezi aendelee kuwepo kwenye kundi hili si bora ajiuzulu ili jamii watambue kuwa ni mtu mwenye msimamo
daima namtambua sana Mnauye jr. toka katika mapambano yake ndani ya UVCCM na nadhani ni mwanasiasa ambaye angekuja kuwa mwanasiasa makini mbeleni lakini mfumo wa CCM ndio auwezi kumruhusu kuwa hivyo na mtandao umejaribu kumweka karibu na kujifanya unamtetea kipindi alichotishiwa kufukuzwa ndani ya CCM na baada ya hapo wanamtumia kama kinga dhidi ya kushambuliwa moja kwa moja na kundi lililokataa kuendelea kuwa chini ya mtandao
Mnauye jr. mwenendo wako wa siasa unaokwenda nao si sahihi haiwezekani wewe uwe katibu mwenezi na mjumbe wa CC ndani ya chama lakini waweze kukuweka kwenye chupa
CCM is not a political party, its a mode of production. Wanaotaka kujipatia vinono wanakutumia Nape. Wamekutuma ukawatukane wakubwa zao na wanajua wakubwa hao watakumaliza vibaya. Bwana Nape umebaki kuwa utopian thinker. Umepandikizwa hisia za wazee wa enzi za tanu. Ukiwa jukwaani unamwaga sera usoni mwako unaonekana unafuraha ila moyo wako unalia machozi ya damu kwa kuona waliohudhuria kukusikiliza ni watoto wa shule za msingi na sii wpiga kura.