Nape Nnauye CCM, take CARE MY BRO

Magamba hayajaisha yameongezeka mengine! Sasa hivi kuna gamba Msekwa, kuna gamba Uda kuna gamba torosha wanyama! Na tayari na Nape nae anaonekana ni gamba kwa mapacha 2. Yeye anataka kuwang'oa kama magamba na wao lazima wana deal kama gamba kwao. Kazi kweli kweli yani ni mwendo wa magamba kuanzia ngazi ya shina mpaka taifa.

Heri chama hili la magamba life na kupumzika kwa amani ili Nape awe yatima mazima maana kasha mpoteza baba aliekuwa kada wa chama hiki hiki kinacho chungulia kaburi.
 
Wenyewe kina nani? Ninachohubiri kisichotekelezeka ni kipi? Hivi ni kweli leo mtu anaweza kusimama hadharani bila aibu akasema hakitekelezeki???? Nilipoanza mlisema, matokeo yalipoanza kupatikana mnasema halitekelezeki..... Kwakweli wengi wenu kwakuwa ni vijana nashangaa nchi hii itakuaje baada ya mda mfupi kama hili ndo Taifa lenye hiki kizazi


Wenyewe ni mafisadi, kama huna sifa ya ufisadi utaishia kutoa povu na kumpigia mbuzi gitaa. toka umeanza operation ya kuvua gamba ndo tunaona magamba yanazidi kuvaliwa. refer wauza UDA, Wizara ya maji, symbion just to mention a few. hizi wapi hasa huelewi au huoni kama mambo unayoyahubiri hayaendi??kweli unahutaji kufika darasa la saba kujua hilo?????? If you need clean politics, try elsewhere, not in CCM. kaka hapo unasukuma gari wakati upo ndani ya gari unalolisukuma, kamwe halitamove............natoka kidogo mkuu
 
<br />
<br />
Usisahau .....THE STRONGEST MAN INTHE WORLD IS THE ONE WHO STANDS ALONE"
Unauambia nini umma wa CCM sasa ? upo hapo kwa ajili ya "mission" yako peke yako , au ndo unatuhabarisha kuwa CCM sio chama tena
na kila mtu yupo kwenye 'vita yake' ndani chama , je vita yako ni ipi haswaaa ?

. Kwakweli wengi wenu kwakuwa ni vijana nashangaa nchi hii itakuaje baada ya mda mfupi kama hili ndo Taifa lenye hiki kizazi

usihofu , ni 2015 tu utaona hichi kizazi kina ipeleka nchi wapi.
 
Usisahau .....THE STRONGEST MAN INTHE WORLD IS THE ONE WHO STANDS ALONE"[/QUOTE]
UNA MAANA HATA JK HAYUPO NAWE?!!!
KUSHNEI!!!!!
 
CCM kinaelekea kufa Issue za kina Jairo ndiyo zinakimalizia kabisa Nape njaa tu, akipata NOTI za kutosha hutamsikia tena hata kama anajitapa eti he is a strongest man in CCM hamuna kitu hapa
 
Wenyewe kina nani? Ninachohubiri kisichotekelezeka ni kipi? Hivi ni kweli leo mtu anaweza kusimama hadharani bila aibu akasema hakitekelezeki???? Nilipoanza mlisema, matokeo yalipoanza kupatikana mnasema halitekelezeki..... Kwakweli wengi wenu kwakuwa ni vijana nashangaa nchi hii itakuaje baada ya mda mfupi kama hili ndo Taifa lenye hiki kizazi
Kaka kuna yale maahadi kibao yaliyoahidiwa na JK na yameorodheshwa humu jamvini.
Ili kuprove we anza kuonesha wanajamii ahadi mojamoja na utekelezaji wake. Hapo utakata mzizi wa fitna otherwise utakuwa unajaribu kutupiga mchanga wa MACHO! na HATUDANGANYIKI!!!
 
Salama ya Nape ni kuwafata CHADEMA na kuwaangukia kuwa ni mwana mpotevu,other ways yupo ktk hatari kubwa. eidha ya kupoteza maisha au ya kufa kabisa kisiasa, kwa sababu huyo aliyemtuma ni mnafiki mkubwa. kama aliweza kumtimua na kumlostisha Lowasa wakati alimpigania kufa na kupona mpaka akaingia magogoni, atashindwa kugeuka yupi? kwani wewe Nape na Lowasa ni yupi rafiki wa kweli wa mkulu, take care my bro
 
Back
Top Bottom