Nape Nnauye angezitoa tweets zake za sasa alipokuwa Waziri jina lake lingekuwa kubwa sana Tanzania

tramadol

JF-Expert Member
Oct 10, 2015
5,383
4,318
Huwa najaribu kuzisoma tweets za Mh Nape Nnauye zinagusa sana maisha ya Mtanzania halisi haswa yule wa chini kabisa ambaye kiukweli huyo ndiye anayejua shida za Tanzania wengine huwa tunaogopa tu shida lakini kuna wenye shida hasa.

Sasa hizi tweets za huyu Mheshimiwa sana angezitoa wakati ule ni Waziri akitumia V8 kwa usafiri wa kila siku hakika jina lake lingekuwa kubwa sana na kutamalaki kila kona ya nchi hii.
 
Hata kitwanga aliziponda bombardier baada ya kutumbuliwa
 
Huwa najaribu kuzisoma tweets za Mh Nape Nnauye zinagusa sana maisha ya Mtanzania halisi haswa yule wa chini kabisa ambaye kiukweli huyo ndiye anayejua shida za Tanzania wengine huwa tunaogopa tu shida lakini kuna wenye shida hasa.

Sasa hizi tweets za huyu Mheshimiwa sana angezitoa wakati ule ni Waziri akitumia V8 kwa usafiri wa kila siku hakika jina lake lingekuwa kubwa sana na kutamalaki kila kona ya nchi hii.

Hata Nyie msingeshiriki kumchafua Mzee Ngoyai sasa hivi ndo angekuwa Mkuu wa Nchi
 
Ukishakuwa kuwa Waziri unaapa kuitetea serikali ya jamhuri ya Muungano wa Tanzania..kwa maana nyingine failure na success zote mnazibeba kwa pamoja kama serikali hata kama hupendezwi kwa kuwa Waziri ana nafasi ya kushiriki kikao cha baraza la mawaziri pamoja na Rais na kutoa ushauri na moyoni. Ukikosoa maana yake unapoteza sifa ya kuwa Waziri (ila sio kwa haya mambo ya kijamii bali yale yote yanayohusu msimamo wa serikali katika utendaji wake)
 
Back
Top Bottom