Uchaguzi 2020 Nape Nnauye anaelekea kupita bila kupingwa Jimbo la Mtama, mgombea CHADEMA alikamatwa jana huku ACT-Wazalendo wakiwa hawana mgombea

Mfumo uleule malalamiko yaleyale. Safari bado ndefu sana kwa wapinzani wa nchi hii.
 
Nape mbona alishaahidi kuwa atapiga wapinzani mbele waziri mkuu na video ipo au hamkumuelewa ? Huyu Ni Pimbi wa kutupa.
Mbona kuna mgombea mmoja wa urais ana asili ya kichaa ameongea live kwenye TV kwamba lazima ashinde yeye tu, na akasema kama hakuchaguliwa na wananchi hapa patakua hapatoshi!! mmemchukulia hatua gani nyie machadema?
 
Jimbo la tano ilo mgombea anapita bila kupingwa.ngoja tusubiri mengine.
Chadema wanavunja sheria kwa makusudi wakijua nguvu na kelele za mitandao zitawapitisha kumbe ndo wanaachia majimbo yanachukuliwa kiulaiini kabisa.
 
Jimbo la tano ilo mgombea anapita bila kupingwa.ngoja tusubiri mengine.
Chadema wanavunja sheria kwa makusudi wakijua nguvu na kelele za mitandao zitawapitisha kumbe ndo wanaachia majimbo yanachukuliwa kiulaiini kabisa.
Yamepita yapi mkuu mpaka sasa
 
Chadema mlipashwa kuwa mmeweka mikakati kurudisha form siku moja majimbo yote bila kungoja mpaka siku ya mwisho
Mngeweka utaratibu wa kuwalinda waliochukua form kuwasindikiza kurudisha
Shida mnajiamini sana wakati mkijua magumu mnayopitia wakati ukifika
Ongezeni akili za ziada
Nape asubiri kusimama mahakamani siku moja
Kila jambo lina mwisho
 
Nape ni kijana wake sana hawezi kumfanyia battling.. Fuatilia sauti za simu nilizonaswa wote wanahusika.. So lao ni moja
 
ACT mgombea yupo ofisini kwa msimamizi na msimaizi ayupo.

CHADEMA mgombea kakamatw ana TAKUKURU mbele ya msimamizi na fomu zikiw akw amsimamizi na wakampokonya msimamizi fomu wakaondoka na mgombea na fomu yake.
 
Back
Top Bottom