Nape Nnauye akiwa kata ya kimandolu, Arusha

Sikiliza wewe gamba la kobe, hii ni open forum kwahiyo kila unachokiandika kinasomwa. Hata kama huna jipya utasomeka tu na huo utumbo unaouandika na ndio maana nikakushauri kuwa badilisha santuri badala ya kila post kurudia maneno yale yale. Kama unajiamini kuwa wewe wa uvichaaccm una akili unatakiwa kujenga hoja kulingana na muktadha na sio kukaririshwa maneno hayo hayo kila post kama vile ni zuzu.

Wewe vipi?. Ningekuwa sina jipya ungepoteza muda wako kujibu post isiyokuwa na jipya.

CCM tunaamini na kuishi katika demokrasia ambapo kuna kushinda na kushindwa kwa sababu katika hivyo, tunapata ujumbe kutoka kwa wananchi na katika ujumbe, tunaufanyia kazi.

Hatufanyi siasa za kibavicha ambazo wakishindwa wanasema wameibiwa kura na hawatambui ushindi hata kama mahakama itaamua vinginevyo.

Tutaendelea kuwafundisha maana ya demokrasia kama ilivyotokea katika uchaguzi wa urais 2010 ambao hamkumtambua Rais mchaguliwa lakini tukawapa somo la kidemokrasia ambalo liliwaingia mpaka mkaenda kunywa chai na juice state house na rais ambaye hamkumtambua.
 
Mwita Maranya
Unatoka povu jingi sana raisi anapofanyiwa check up US watanzania tunajua; mzee Lowasa ameweka wazi siku nyingi anapata matibabu Ujerumani; sasa inakuwaje huyu nabii wenu mnatuongopea kila siku wote tunajua babu mgonjwa kwanza kwa umri wake kuwa na mapungufu ya kiafya ni sawa; hata mimi ninapokwenda hospitali siwaambii wanangu naenda kazini naweka wazi nakwenda hospitali; na lazima ukumbuke nabii anajioverwork kwa kutaka uraisi kitu ambacho kipo wazi hataupata anaweza kuanguka kwenye jukwaa kwa matatizo ya afya yake makamanda mkasema CCM imemdhuru.
cc Ritz; Chris Lukosi
 
Last edited by a moderator:
Mliberal yupo ujerumani kwa matibabu! Hizo tabia za kishetani ambazo mtume Paulo alizikataza kwa nguvu zote ndizo zilizomkimbiza kanisani soma waraka wa mtume Paulo kwa Wagalatia utapata ujumbe kamili

Haa, Kumbe EL nae Mliberali!!!!!!!!!!!!!!????
 
[MENTION=11187] na lazima ukumbuke nabii anajioverwork kwa kutaka uraisi kitu ambacho kipo wazi hataupata anaweza kuanguka kwenye jukwaa kwa matatizo ya afya yake makamanda mkasema CCM imemdhuru.
cc Ritz; Chris Lukosi

Kwa hiyo chama hapa unanithibitishia kwamba huyo nabii wenu ambaye amekuwa akianguka mara kwa mara majukwaani ni kwasababu alijioverwork kwa sababu ya kutaka uraisi!? Angalau leo umeongea point ya msingi na mimi sina neno katika hilo, sasa tuendelee na mengine.
 
Last edited by a moderator:
Makada wa CCM muache uongo wenu hapa, Eti kwanini CHADEMA wanatumia nguvu kubwa kulinda ngome yao hapa Arusha, nyinyi mlitaka CHADEMA wafanyeje?

Ukweli ni kwamba CCM na serikali yote wamekuja na kuwekeza hapa Arusha katika uchaguzi huu. Kwa mfano:

1/Kabla ya kampeni kuanza kamati kuu ya CCM na kikao cha wabunge wa CCM na Kikwete kilikaa na kujadili kwa kina namna ya kuhahakisha CCM inapata ushindi kwa gharama yoyote katika kata nne za Arusha

2/Caucus ya wabunge wa CCM ilikaa na Pinda na kuchangishwa pesa kwa ajili ya kampeni hizi za chaguzi za madiwani.(Wabunge wote wa CCM waliamriwa kukubali kukatwa posho za vikao vya bunge ili kuchangia CCM)

3/Wajumbe muhimu wa Sekretarieti ya CCM wakiongozwa na Nape na Mwigulu, wabunge wote wa CCM mkoani Arusha na mawaziri wengi tena kwa gharama za serikali wako mjini Arusha wakifanya kampeni.

4/CCM imetenga zaidi ya milioni 500 kwa ajili ya chaguzi hizi za madiwani hapa Arusha.

5/CCM kupitia kwa mke wake CUF ilifanikiwa kumleta Katibu mkuu wa CUF maalim Self Sharif Hamad kuja Arusha tena kwa gharama ya serikali ya mapinduzi Zanzibar akiwa na ujumbe wa zaidi ya maafisa 50 kuja kupiga kampeni dhidi ya CHADEMA.

*Nape na vibaraka wako msije hapa na kutaka kupotosha watu kwa kudai uchaguzi huu si kitu kwa CCM wakati mnajua kabisa CCM ikishindwa tu na meya wenu wa magumashi kazi hana.
 
Mwita Maranya
Unatoka povu jingi sana raisi anapofanyiwa check up US watanzania tunajua; mzee Lowasa ameweka wazi siku nyingi anapata matibabu Ujerumani; sasa inakuwaje huyu nabii wenu mnatuongopea kila siku wote tunajua babu mgonjwa kwanza kwa umri wake kuwa na mapungufu ya kiafya ni sawa; hata mimi ninapokwenda hospitali siwaambii wanangu naenda kazini naweka wazi nakwenda hospitali; na lazima ukumbuke nabii anajioverwork kwa kutaka uraisi kitu ambacho kipo wazi hataupata anaweza kuanguka kwenye jukwaa kwa matatizo ya afya yake makamanda mkasema CCM imemdhuru.
cc Ritz; Chris Lukosi
Mkuu nashangaa sana kuona watu wanaona aibu kusema wanaumwa au wanakwenda kufanyiwa check up
Mimi kama naumwa siwezi ficha kila mtu atajua kama akiniuliza
Magonjwa ya kuficha siku hizi hamna kabisa labda yale ya ukipiga mluzi mzee anashtuka ndio huwezi kusema.
Anyway, kama kweli anaumwa ninamtakia afya njema apone haraka aje arudi ulingoni.

Najua Dr ni mpambanaji na kajitahidi sana kwa umri wake kuzunguka kila siku hivyo lazima afya isumbue kidogo,
 
Kwa hiyo chama hapa unanithibitishia kwamba huyo nabii wenu ambaye amekuwa akianguka mara kwa mara majukwaani ni kwasababu alijioverwork kwa sababu ya kutaka uraisi!? Angalau leo umeongea point ya msingi na mimi sina neno katika hilo, sasa tuendelee na mengine.
Mwita jaribu kuongea kama mtu mzima
Hata siku moja usicheke mtu akiugua kwani hata wewe yanaweza kukupata tena mabaya zaidi.

Mbona wewe unaoza mdomo watu hawacheki?

Nitakuletea kontena la colgate...
 
sisi hatuna tuna mwenyekiti hatuna nabii; ni kweli alianguka ilikuwa ni kipindi cha mfungo wa Ramadhani; kuanguka sio hoja umesahau nabii alianguka chooni Mwanza? Hapa tunataka muweke wazi afya ya nabii mgogoro hatutaki mtuletee uzushi yule ni binadamu
 
Last edited by a moderator:
Mwita jaribu kuongea kama mtu mzima
Hata siku moja usicheke mtu akiugua kwani hata wewe yanaweza kukupata tena mabaya zaidi.

Mbona wewe unaoza mdomo watu hawacheki?

Nitakuletea kontena la colgate...

mkuu Chris Lukosi
Mtaa wa Togo ofisi imefungwa subiri kesho kamanda atakuja na kontena la matusi; kwani makamanda wadogo wakiumwa hapelekwi hata Nairobi? Naona ungefanya utaratibu wa kusaidia dentures kwasababu watu wameshindwa kujali afya zao kwasababu ya M4C; nabii wao anajibu Ujerumani wao hata pesa ya kutibiwa Muhimbili hawapewi; ujinga mwingine ni hatari
 
Last edited by a moderator:
HAhahahahahhahhh

Mkuu acha hizo, Mbona nasikia ana PhD ya kusali...

Mkuu Chris Lukosi
Ph.D ya kusalisha machizi kwenye hospitali za vichaa Lutindi na Mirembe; yeye mwenyewe hajielewi atamsalisha nani? wenzake katika umri wake wanakimbia shetani na kutubu kwa Mungu yeye kamkimbia Mungu na kumsujudia shetani; yaani nilicheka sana nilipoona kapiga na kimada katika sehemu ambao waamuni wanapaheshimu ile picha aliyopiga Israel imesikitisha yaani uso wake mdoogo anavyoona aibu hata kuiangalia kamera aliogopa
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom