Supervisor
JF-Expert Member
- Oct 29, 2010
- 559
- 208
Hakuna kuwaonea huruma Magamba yemenyonya sana nchi hii na sasa yatajuta kutujua 2015TZCDM
Katika hotuba hiyo amewataka wananchi wajitokeze kwa wingi kwenda kupiga kura na waondokane na hofu yoyote kwa vile usalama umeimarishwa vya kutosha.
Nape amewaomba wananchi wazitumie vizuri haki zao za msingi za kupiga kura kumchagua mgombea wa CCM ambaye chama chake kilipewa majukumu ya kuongoza nchi na wananchi walio wengi katika uchaguzi mkuu wa mwaka 2010 kutokana na ilani yake nzuri na inayotekelezeka ambayo mambo yaliyopo ndani ya ilani ya Chama Cha Mapinduzi ni pamoja na kutatua matatizo ya wana Kimandolu kama serikali inavyofanya.
Nape aliwakumbusha wananchi kuwa kinachotekelezwa kwa sasa nchini ni ilani ya uchaguzi ya CCM ya mwaka 2010 kupitia serikali yake na wasikubali kudanganywa na wagombea wa vyama vingine kama hao wagombea na vyama vyao watawaletea maendeleo.
Maendeleo katika kata ya Kimandolu yataletwa na CCM kupitia ilani yake na si vinginevyo.
Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye ,akiwa kwenye mkutano wa hadhara wa kumnadi mgombea wa kiti cha udiwani cha kata ya Kimandolu,Arusha.
Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akihutubia wakazi wa kata ya Kimandolu wakati wa kampeni za udiwani .
Mgombea wa kiti cha udiwani, Ndugu Edna Jonathan Sauli akisalimia wakazi wa kata ya Kimandolu wakati wa kampeni za udiwani.
Wewe uliyeko kwenye timu ya Dr. Slaa ya kwenye mtandao uko kwenye group ya aina gani kama mimi niko "book 7".Yes, naona unajitahidi sana kuandika propaganda and I believe soon utavuka kutoka "book 7" group na kupewa kazi ya ukatibu mwenezi wa kata. Anyway, Nape ameonyesha kukomaa kidogo kwa maneno yake aliyoyatumia kwenye kampeni ukilinganisha na Mwigulu ambaye kusema kweli anaiharibia sana CCM.
Tiba
You seem to suffer from Don junism inayosababishwa na hypersexuality kiasi kwamba likitamkwa neno liberal unachofikiria ni ngono. Ugonjwa wako unakufanya mpaka ku-troll kwenye internet kutafuta habari za mapenzi ya homosexual.DUNIA INAELEKEA WAPI.......?WANAUME WAWILI WAFUMWA GEST WAKIFANYA MAPENZI - WAJANJA WA TOWN
Waliberali MwanaDiwani , chama , bungeni , utaifakwanza Sumu, HAMY-D
Pazeni Sauti zenu Jamani Hapa
Kelele za chekechea wa kisiasa hazimzuii mtu mzima kuendelea na shughuli zake.
Wao wamebakiwa na cheap politics zinazokolezwa na spinning za kijinga na siasa zilizopitwa na wakati za kueneza sera zao wanazo zihubiri mpaka bungeni za kutaka kufahamu nani ni msagaji na nani siyo msagaji.
waacheni waendelee na siasa zao za kilaghai na maji taka.
CCM tumedhubutu, tumeweza na sasa tunatenda.
Makada tuko mikoani tunafanya kazi tuliyotumwa na wananchi kupitia kwenye sanduku la kura 2010.
DUNIA INAELEKEA WAPI.......?WANAUME WAWILI WAFUMWA GEST WAKIFANYA MAPENZI - WAJANJA WA TOWN
Waliberali MwanaDiwani , chama , bungeni , utaifakwanza Sumu, HAMY-D
Pazeni Sauti zenu Jamani Hapa
Mambo ya hao jamaa wa CCM ni dalili za kuanguka kwa utawala wao. Sui unajua mtu akitaka kufa kuna style nyingi, wengine ni ghafla, wengine, wanalala tu usingizi, wengine wanapigapiga miguu na kutapatapa kwa hiyo CCM kwa mtazamo wangu wanatapatapa. Ndiyo maana wanawatumia watu kama Mwampamba, Shonza, na huyo mlemavu.Katika hotuba hiyo amewataka wananchi wajitokeze kwa wingi kwenda kupiga kura na waondokane na hofu yoyote kwa vile usalama umeimarishwa vya kutosha.
Nape amewaomba wananchi wazitumie vizuri haki zao za msingi za kupiga kura kumchagua mgombea wa CCM ambaye chama chake kilipewa majukumu ya kuongoza nchi na wananchi walio wengi katika uchaguzi mkuu wa mwaka 2010 kutokana na ilani yake nzuri na inayotekelezeka ambayo mambo yaliyopo ndani ya ilani ya Chama Cha Mapinduzi ni pamoja na kutatua matatizo ya wana Kimandolu kama serikali inavyofanya.
Nape aliwakumbusha wananchi kuwa kinachotekelezwa kwa sasa nchini ni ilani ya uchaguzi ya CCM ya mwaka 2010 kupitia serikali yake na wasikubali kudanganywa na wagombea wa vyama vingine kama hao wagombea na vyama vyao watawaletea maendeleo.
Maendeleo katika kata ya Kimandolu yataletwa na CCM kupitia ilani yake na si vinginevyo.
Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye ,akiwa kwenye mkutano wa hadhara wa kumnadi mgombea wa kiti cha udiwani cha kata ya Kimandolu,Arusha.
Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akihutubia wakazi wa kata ya Kimandolu wakati wa kampeni za udiwani .
Mgombea wa kiti cha udiwani, Ndugu Edna Jonathan Sauli akisalimia wakazi wa kata ya Kimandolu wakati wa kampeni za udiwani.
wewe gamba tangu kampeni zilipoanza umekuwa unarudia rudia maneno haya haya kila post, huna jipya.
Kuanzia jumapili jioni ya tarehe 16 June utakuja hapa na santuri nyengine.
Mkuu chama Wanatumia nguvu nyingi, raslimali nyingi kwenye sehemu ambayo kila siku wanatuaminisha kama ni "ngome ya CDM". Napatwa na wasiwasi, kama kwenye ngome yao wanatumia nguvu na raslimali kiasi hiki, vipi huko ambako siyo "ngome ya CHADEMA". Si itabidi viongozi wao wote wahamie huko.Mkuu Mwita Maranya
Una wasiwasi wa nini? Timu ya CCM inafanya kampeni zake kushinda na kushindwa ni kitu cha kawaida kwenye ulingo wa siasa sisi hatuna hofu yoyote na viti vya udiwani Arusha; nyie ambao piga ua mnataka kushinda ndio mtakuwa chanzo cha vurugu; picha inajieleza tosha wanaCCM wametulia wanasikiliza sera sio kama kwenye mikutano yenu watu mikono yote juu wamekunja ngumu nyuso wamezikunja kama wamekunywa sumu; CCM furaha kedekede!
cc Ritz; MwanaDiwani
Wewe vipi?. Ningekuwa sina jipya ungepoteza muda wako kujibu post isiyokuwa na jipya.wewe gamba tangu kampeni zilipoanza umekuwa unarudia rudia maneno haya haya kila post, huna jipya.
Kuanzia jumapili jioni ya tarehe 16 June utakuja hapa na santuri nyengine.
Mkuu chama Wanatumia nguvu nyingi, raslimali nyingi kwenye sehemu ambayo kila siku wanatuaminisha kama ni "ngome ya CDM". Napatwa na wasiwasi, kama kwenye ngome yao wanatumia nguvu na raslimali kiasi hiki, vipi huko ambako siyo "ngome ya CHADEMA". Si itabidi viongozi wao wote wahamie huko.
Siwashangai hata wanaposema Dr. Slaa ni rais wao wa mionyoni mwao ili tu kujifariji psychologically kwa sababu wanafahamu hawezi kuwa rais wa wananchi wa Tanzania anayetambuliwa na sheria za kitaifa na kimataifa.
Dr. Slaa analala akiwaza kama atakuja kuwa Rais sijui wa Tanzania bara au wa shirikisho mpaka hataki watu wafahamu kama ni mgonjwa. Hajui au anajifanya kujisahaulisha kama mficha maradhi mara zote huumbuliwa na kifo.Hawa Chadema ni kama wafiwa kujifariji ni kawaida yao; wanaishi kwa matamanio makubwa ya uraisi wameshindwa kupanda kichuguu wataweza mlima Kilimanjaro? Hivi wanatumia nguvu nyingi kwenye ngome yao hiyo ni ishara tosha kuwa watu wameelewa ulaghai wao; babu yupo kwenye matibabu Ujerumani kwa kujifariji wanasema eti ameenda kwenye ziara ya kichama; huo ni wazimu mkubwa huwezi kuwa chama cha siasa kama unashindwa kukabiliana na ukweli
Hata sijajua vizur ILA kutokana na monopoly of distribution, huenda ni kule kule Steers, Mlimani City, Best Bites, etcMechi saa tisa kamanda sijui tutatoka. Tiketi wanauza wapi
Mkuu chama Wanatumia nguvu nyingi, raslimali nyingi kwenye sehemu ambayo kila siku wanatuaminisha kama ni "ngome ya CDM". Napatwa na wasiwasi, kama kwenye ngome yao wanatumia nguvu na raslimali kiasi hiki, vipi huko ambako siyo "ngome ya CHADEMA". Si itabidi viongozi wao wote wahamie huko.
Siwashangai hata wanaposema Dr. Slaa ni rais wao wa mionyoni mwao ili tu kujifariji psychologically kwa sababu wanafahamu hawezi kuwa rais wa wananchi wa Tanzania anayetambuliwa na sheria za kitaifa na kimataifa.
Dr. Slaa analala akiwaza kama atakuja kuwa Rais sijui wa Tanzania bara au wa shirikisho mpaka hataki watu wafahamu kama ni mgonjwa. Hajui au anajifanya kujisahaulisha kama mficha maradhi mara zote huumbuliwa na kifo.
Nafikiri anasahau kuwa mwezi October mwaka huu atakuwa legally, PENSIONER. Cha ajabu CDM wanadai nguvu yao iko kwa vijana wakati uongozi wa juu hawapewi hao vijana.
Viongozi wao hawaishi kwa kile wanacho hubiri.
Hawa Chadema ni kama wafiwa kujifariji ni kawaida yao; wanaishi kwa matamanio makubwa ya uraisi wameshindwa kupanda kichuguu wataweza mlima Kilimanjaro? Hivi wanatumia nguvu nyingi kwenye ngome yao hiyo ni ishara tosha kuwa watu wameelewa ulaghai wao; babu yupo kwenye matibabu Ujerumani kwa kujifariji wanasema eti ameenda kwenye ziara ya kichama; huo ni wazimu mkubwa huwezi kuwa chama cha siasa kama unashindwa kukabiliana na ukweli