dubu
JF-Expert Member
- Oct 18, 2011
- 3,500
- 3,481
Nape Nnauye akijibu Maswali bungeni, kapinga vikali kauliza Watu wanaodai kwamba Serikali imekataza kuonesha bunge live, kwani bunge linaoneshwa Asubuhi vilevile linaoneshwa usiku mwanzo mwisho.
Wanaodai kwamba bunge halioneshwi ni wale wanaotaka kuchonganisha rais na Wananchi wake. Ni vizuri tukaweka Records sawasawa, wanazungumza kana kwamba Serikali ya awamu ya tano imekataza kabisa kurekodi bunge kabisa.
Tuache kuwadanganya wananchi kwa kusema uongo kwamba Bunge Limepigwa marufuku.