security guard
JF-Expert Member
- Sep 27, 2011
- 799
- 603
he looks very smart
But Mwandosya typically!he looks very smart
Hivi atatumia lugha gani?...........au ndiyo yale yale ya 'I have been waiting for you weee but where(nimekusubiri weeee lakini wapi)''
Ha ha ha,Hapo inabidi asimame na kupunga mikono tu . Lugha za Ishara tu maana ....!Mhh!Hata mi nilitaka kuuliza 'Nape anajua Kiingereza'? Maana Kijerumani sidhani kama anakijua.
Mwanafunzi wangu Nape, angalau rudi na chochote cha mfano in exchange for value of money spent!
Hata mi nilitaka kuuliza 'Nape anajua Kiingereza'? Maana Kijerumani sidhani kama anakijua.