NAPE ndani ya Sherehe za miaka 150 ya chama cha SPD

NAPE ndani ya Sherehe za miaka 150 ya chama cha SPD

Hivi atatumia lugha gani?...........au ndiyo yale yale ya 'I have been waiting for you weee but where(nimekusubiri weeee lakini wapi)''

Ben, Ben Saanane.....acha uchokozi. Mimi mwenziyo sina Insurance policy yoyote ile (afya au matibabu), kutuwekea vitu kama hivi tunaweza kuzi-hundred halafu ikala kwa familia zetu.
 
Hakosi Pembe za Ndovu kama zawadi
si na Kinana kaenda nae.......
 
CHADEMA wakiwa na CDU ya huko huko Ujerumani ni nongwa na mropokaji mkuu ni huyu huyu mshamba NAPE. Sasa nashukuru leo kadhihirisha kuwa na CCM wako na SPD ambao wako kwenye serikali ya mseto na CDU. Nikusikie unaropoka tena kuhusu CHADEMA na CDU
 
Hivi atatumia lugha gani?...........au ndiyo yale yale ya 'I have been waiting for you weee but where(nimekusubiri weeee lakini wapi)''
Hivi na mashog..nao mnaruhusiwa kuchangia humu?!!!! Haaah basi tumeingiliwa!! Hivi Mishy alishakwambia kuwa aliposikia we shog** alikukataa?!! Babu yangu anadawa ya ushog** njoo nitakupa kijana mzuri unakuwa bwabwa?!!!!
 
Back
Top Bottom