Taarifa ITV muda huu namwona Nape anadai nchi hii ina wenyewe na wenyewe ni chama cha mapinduzi! Hivi huyu mtu ana akili kweli? Ina maana wote wasio katika CCM hawana haki na hii nchi?
Taarifa ITV muda huu namwona Nape anadai nchi hii ina wenyewe na wenyewe ni chama cha mapinduzi! Hivi huyu mtu ana akili kweli? Ina maana wote wasio katika CCM hawana haki na hii nchi?
oh me! how do you convert liabilities into assets?
read between the lines!Another stup...............................
Nimemfananisha Nape na mtoto wa gadhaffi juu ya kauli zake kwa wa libya,lakini sasa anaishi mafichoni na cockroach wako tripol.
Jaji Warioba alisema haioni serikali ya Tanzania iliyopo ni serikali ya CCM.
Samahani kidogo naomba wana jamvi mnijuze elimu ya huyu nape. Kwasababu anashindwa kutumia hata akili za kuzaliwa kusoma alama za nyakati kweli magamba ni vilaza wa ukweli
Regia,Si bure lazima Nape atakuwa na problem,uwezo wake wa kufikiri unapungua Siku hadi Siku..Tumuombee jamani arudi kwenye Hali yake ya zamani..
Regia,
Think outside the box.
Kumbuka, JK alishatwambia kuwa "Anachoongea Nape ndio msimamo wa chama" na hivyo napenda kujiaminisha kuwa NDIVYO alivyotumwa na chama na kupewa baraka na mwenyekiti wa chama aongee kwa watanzania kwa ujumla wao.
SASA, watanzania tutaendelea kudharauliwa kiasi hiki mpaka lini? Hivi kweli sisi tusio na vyama hatuna chetu Tanzania hii? Na CHADEMA mkija kuingia madarakani (endapo itatokea) mtatufanyia dharau za namna hii?
Hivi wanasiasa mnajua tumewavumilia sana? Mnajua mnaanza kututia vidole machoni sasa?
Nape, tutake radhi watanzania. Waweza kudai hukumaanisha inavyoonekana au ilivyoelezwa na watu lakini nikiri kuwa kauli hii INAKERA hasa kwa sisi tusio na vyama vya siasa; wachilia mbali wapinzani wenu kisiasa. Labda kama umeongopewa si wewe uliyeongea haya.
usiwe naive hivyo mdogo wanguSi bure lazima Nape atakuwa na problem,uwezo wake wa kufikiri unapungua Siku hadi Siku..Tumuombee jamani arudi kwenye Hali yake ya zamani..