KUNGUNI 2010
Member
- Apr 27, 2014
- 27
- 1
Eti ukawa wasirudi bungen umechanganyikiwa usichezee kok utalowana bule
Hizo posho unazoziongelea zinalipwa kwa mwezi au siku?? Walienda pale kuwakilisha wananchi wao wanao waongoza ajabu CCM wanatumia kigezo cha POSHO kuwabeza UKAWA hali kwamba siku walizokuwa wakikaa kule ndani walikuwa wakiongelea msimamo wao na walipoona manyanyaso ya CCM na huo unao uita UCHUNGU wa hela ya mlipa kodi ndio ulio wafanya waondoke ili wasiendelee kuziharibu fedha hizo.Kama hawana njaa kwanini walisubiri posho itoke ndiyo waondoke bungeni?
Halafu eti mnajitia mnauchungu na hela ya mlipa kodi?!
Shame on you.
Hizo posho unazoziongelea zinalipwa kwa mwezi au siku?? Walienda pale kuwakilisha wananchi wao wanao waongoza ajabu CCM wanatumia kigezo cha POSHO kuwabeza UKAWA hali kwamba siku walizokuwa wakikaa kule ndani walikuwa wakiongelea msimamo wao na walipoona manyanyaso ya CCM na huo unao uita UCHUNGU wa hela ya mlipa kodi ndio ulio wafanya waondoke ili wasiendelee kuziharibu fedha hizo.
Vipi wangeondoka bungeni siku moja tuu kabla ya kupiga kura mngewaitaje?? Na CCM kama sio tamaa ya hizo posho kwa nn wanajiongezea siku za kuendelea kukaa bungeni wakati wanajua kwa kanuni zilizopo "KATIBA ITAKUWA BATILI MWISHO WA SIKU" sababu ya kutokutimia kwa mgawanyiko wa % ya wajumbe???
Yupi mlafi na yupi mchungu hapo??
hahahahaaaa lol ukawa kilisema mbele ya camera eti bila serikali 3 hakutakuwa na amani, watachochea vurugu kama Kenya 2007!Honey mimi sipendi siasa ila napenda amani!Hun mimi mtu wa bata nikae ndani kweli nisitoke kwa kuhofia vurugu kisa njaa na uroho wa madaraka ya watu wachache?PHP:Sasa kuna kikaragosi kimoja toka
Mbona mkulu boss. Wake anawaomba warundi Dah nape naye kichekeshoKatibu mwenezi wa CCM mh.Nape Nauye, amesema ukawa usirudi tena bungeni. Je, hii kauli yamke ni sahihi?
hahahahaaaa lol ukawa kilisema mbele ya camera eti bila serikali 3 hakutakuwa na amani, watachochea vurugu kama Kenya 2007!
hii post angu hun imenipa rahaaa...loh kwel bata la muhimuu:redface:
acha unafiki na lile dubu lililosema litaingia msituni mbona hulitaji we gamba tuHoney mimi sipendi siasa ila napenda amani!
Sasa kuna kikaragosi kimoja toka ukawa kilisema mbele ya camera eti bila serikali 3 hakutakuwa na amani, watachochea vurugu kama Kenya 2007!
Hun mimi mtu wa bata nikae ndani kweli nisitoke kwa kuhofia vurugu kisa njaa na uroho wa madaraka ya watu wachache?
Katibu mwenezi wa CCM mh.Nape Nauye, amesema ukawa usirudi tena bungeni. Je, hii kauli yake ni sahihi?
Ikifika huo muda we nenda nchi za jirani ukale bata utuache WANAUME tujenge nchi yetu, halafu tutakuita uje kuendelea na bata wako na hata ngiri na kunguru ukitaka!Honey mimi sipendi siasa ila napenda amani!
Sasa kuna kikaragosi kimoja toka ukawa kilisema mbele ya camera eti bila serikali 3 hakutakuwa na amani, watachochea vurugu kama Kenya 2007!
Hun mimi mtu wa bata nikae ndani kweli nisitoke kwa kuhofia vurugu kisa njaa na uroho wa madaraka ya watu wachache?
Mpaka August watakuwa na njaa sana posho zimeisha na zile hela walizopewa kutoka nje ili kuvuruga amani yetu watakuwa wamedhurumiana na kusambalatika, bunge likianza utawaona haoo mmoja mmoja wa kwanza lema labda wamfunge kamba