Nape nakupongeza

Inawezekana mbunge huyo ni Bwe.ge kweli, kama anaiba ni haki ya Nape ku laani na kukemea wizi dhidi ya watanzania. mie binafsi linapokuja swala la kuwatetea watz siangalii itikadi, Nape pia anaona haki ya wakulima inapotea lazima apige kelele. Mie kule ziwa Victoria nimepiga kelele sana juu ya mizani za wanunuzi wa samaki lakini malmlaka husika ziko kimya, wavuvi pia wanadhulumiwa kwa mizani, nji hii lazima kuwe na sheria nzuri na inayotekelezeka kwani mizani imekuwa mizani kesi hii iko kwenye mazao yote; pamaba, mchele, mahindi (Sondeka) taja mazao yote
 
Hii stori nashindwa kuiamini vile.
Sehemu ya hii stori inadai Nape kumwita mbunge wa Kilwa as B.W.E.G.E, wakati huo huo kuna stori nyingine inadai kuwa Nape kawaliza watu na mbunge CUF kumshangilia. Sasa huyo anayeitwa B.W.E.G.E mbele ya constituents wake hapo hapo anamshangilia tena huyo aliyemtusi. Hainiingii kichwani hata kidogo, moja ya stori inatakiwa kurekebishwa.
 
NAPE ni vuvuzela asiye na mbele wala nyuma,akili zake ni mgando
 
Safi sana maana umemchana huyo mtu hadharani ili isionekane ni majungu!
 
Unategemea kwa nafasi yake kama kiongozi wa chama afanye nini? Yeye amemlipua na sasa ni juu ya wahusika kuchukua hatua za kuchunguza na kama kuna ushahidi kuchukua hatua. Hilo siyo jukumu la kiongozi wa chama cha siasa.
 
BWEG.E ni jina halali la huyo mbunge, kuhusu kulia kwenye ile yule mtoa mada mwingine nimeona kunapicha mtu analia nadhani kuna THREAD kama hiyo tena ya huyo mama kulia hiko jukwaa la photo waki0nyesha walakini wa huyo mama kulia kwamba ilikuwa ni dili.

ukweli ni kwamba sio watu ni mtu mmoja.

mbunge kushangili kwenye ile thread nyingi sijui jamaa kaitoa wapi hiyo story maana huyo mbunge (bweg.e) ndiye aliyekuwa nasemwa ulanguzi.

anyway yalezekana ni shangilia ya kubeza maana mbunge ananunua kwa 1200 Nape anataka watu wauze huo ufuta kwa 1000 mpaka 1100 kwenye vyama vya ushirika.
hao ndio magamba
kama utazoma post zote za hapo juu utapata majibu na ile nyingine kama utaisoma ni wazi imeongezewa taarifa kwa maana hiyo sijui ukweli wa ongezeka la taarifa hizo
 
Unategemea kwa nafasi yake kama kiongozi wa chama afanye nini? Yeye amemlipua na sasa ni juu ya wahusika kuchukua hatua za kuchunguza na kama kuna ushahidi kuchukua hatua. Hilo siyo jukumu la kiongozi wa chama cha siasa.

hacha kulipuka soma vizuri hakuna mlanguzi ni kelele zake kuita watu walanguzi
anyway habari ya kazi kitengo chenu cha uenezi mnalipwa tarehe ngapi hapo ccm?
au ni kama sisi
 
Hapa nimekukubali sana nape. Si wakati wote ni ushabiki wa kisiasa.
 
Huyu mbunge kama sikosei ni wa chama cha CUF kwa hiyo ndio maana kasema haya, kama angekuwa mwanamagamba mwenzake asingesema. Hana lolote vuvuzela huyo
 
Huyu mbunge kama sikosei ni wa chama cha CUF kwa hiyo ndio maana kasema haya, kama angekuwa mwanamagamba mwenzake asingesema. Hana lolote vuvuzela huyo

ni kweli ni CUF na watu wanampenda sana.
 
Hapa nimekukubali sana nape. Si wakati wote ni ushabiki wa kisiasa.

umesoma hata habari yenyewe au ume QUOTE
wananchi wanaandaliwa kufanyiwa dhuruma hapa na chama cha ushirika
kwa kua ushindani wa kimasoko kwanza
 
sasa Nape amfanye nini? keshamwambia jamaa atajirekebisha na kuacha ulanguzi....kwa nini tunapenda sana kumshambulia Nape hata kwenye mazuri? kwazna badilisha tittle ya thread...iandike kiustaarabu acha jazba

Mkuu hapo kwenye Red akifika Masasi awaambie na wabunge wengine wanaofanya ulanguzi wa Korosho waache, asipofanya hivyo tutaona kamuonea huyo kwa sababu ni wa CUF
 
Mkuu hapo kwenye Red akifika Masasi awaambie na wabunge wengine wanaofanya ulanguzi wa Korosho waache, asipofanya hivyo tutaona kamuonea huyo kwa sababu ni wa CUF

Hiyo itakuwa ngumu alishindwa kusema alipokuwa mkuu wa wilaya hataweza leo
na kama hatasema hatotaja majina kama walivyomfanya ndugu yetu bweg.e.
 
miaka hamsii ya uhuru?, kuzi.....
sasa Nape amfanye nini? keshamwambia jamaa atajirekebisha na kuacha ulanguzi....kwa nini tunapenda sana kumshambulia Nape hata kwenye mazuri? kwazna badilisha tittle ya thread...iandike kiustaarabu acha jazba
 
Kweli kuu, tatizo hapa kilwa wamechakachuaaaaaa weeeeeeeeeeee wapiiiiiiiiiiii ! Jino kwa jino , so the magambaz wana uchungu na majimbo yao ! Nb: Nape nahisi ndio rais mpya wa tz 2010- 2015 !
 
Yeye mwenyewe MR NEPI OR NAPE KATUCHAKACHUA KOROSHO ZETU MASASI NA HADI LEO HATUJALIPWA ! THATS WHY 2010 KUSINI TUMEWAPA CUF , KWA HASIRA NOV 5 2010 WAKATUCHOMEA VIBANDA VYETU VYA BIASHARA NA NEPI AKIWEPO HAPA NANGANGA ! 2015 NDO NA SISI TUTAICHOMA IKULU YA MASASI HATUTAKI U**** I KAMA WENZETU WA TARIME ! JAN KAJIFANYA YEYE NDO MKUU WA WILAYA MCHAPAKAZI KUTEMBEA NA POLISI NA KUTUKAMATA KISA MIHOGO NA MTAMA KUANZIA CHIPITE HADI LIKOLOMBE VIMENYAUKA , SASA MVUA TUNGEIPATA WAPI ? HUYU TUTAMGEUZA SIMBA TUUU !
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…