Nape: Nakuombea mjomba wangu Lissu, tulia upone kabisa kwanza kabla hujasema mengi

Aaron

JF-Expert Member
Nov 18, 2010
3,019
4,693
25d67865e47904ccf450cebc86af0cb4.jpg
 
Hv Nape wakati wa mchakato wa kuchagua viongozi si alikuwepo pia. Mzee wa goli la mkono.

Nina uhakika kama alilifinga analijutia sasa hv kwa nini alifanya hivyo.

I hope ana la kujifunza. Ni suala la muda but naamini kabisa "He has a tale to tell." BY MJOMBA

Hata hivyo nakupongeza kwa kuwa na ujasiri ulio nao pia. Wengine wanakufa na tai shingoni huku mengi yakiwauma.

Funzo liwe kwa wengine walio madarakani. Tendea watu haki kama inavyostahili. Usitumie cheo chako kugandamiza haki maana huijui kesho yako ipoje? Unaweza kuchimba shimo kwa ajili ya wale kumbe na wewe utapita hapo hapo.

Tenda haki tu usimuonee yeyote yule na Mungu atakuinua zaidi na zaidi. Kwa sababu huu ulimwengu hatuishi milele tunapita tu. Hakuna atakayebakia milele. Ya nini kumuumiza mwenzako kama vile wewe utaishi milele.?
 
Nimetiwa moyo kwani kusikia neno hilo kutoka ccm kwangu ni kuimarika zaidi kuwa; kumbe wapo walioumizwa na tendo hili baya linalopaswa kulaaniwa? Laiti neno ka hilo lingelitoka kwa baba hata ka ni kwa unafiki
 
nape%2Bpic.jpg


Katika kurasa zake za mitandao ya kijamii ya leo Alhamisi akiwa ameambatanisha na picha ya Lissu ameandika,


“Mjomba tunamshukuru Mungu kwa tabasamu hili la matumaini! Nakuombea afya iimarike kabla hujasema mengi! Tulia mjomba upone kabisa kwanza!”
 
Back
Top Bottom