Hata mimi sidhani kama wanaloliongelea ni la kuitakia mema jamii au kama wanamuongelea mtu ndiyo kabisaa wanamtakia mabaya na kama wanaongea ya kwao wenyewe lazima itahusu jinsi gani Shibuda ajiimalishe kisiasa
Body language hapo ipo very clear. Inaonekana Nape anam-coach shushushu wa ccm aliyetumwa kwenda kukamilisha utekelezaji wa kazi aliyotumwa ndani ya cdm.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.