Nape na Arusha

umeonae,,yaani arusha ck hiz chadema haitajwi kabisa,,tupashe misuli
 
Wacha Arusha, kaja Moshi nyumbani kwa boss wenu au mmesahau?

Huyo ndio Nape.
 
Haina haja ya kubishana hapa saaana! Nape aende arusha halafu tuone!
Kwa chama tawala, mikutano inayoeleweka zaidi ni kutimiza ahadi. Maelezo ambayo wananchi tunataka kusikia toka kwenu, siyo tu magamba kuvuka, ila hatua gani zimechukuliwa kwao?
Vinginevyo ccm msiwe kama mnatafuta dola, dola mnayo tekelezeni wajibu wenu, acheni kuiga slogan za cdm mtaonekana vilaza wote.
 
jamani nimepokea msg saa hii kutoka line yangu ya Airtel....limeseji ndio limenifikia usiku huu....

....Safari ya CCM kushinda uchaguzi 2015 inaanza leo jangwani DSM.......
....WanaCCM wote imefika sasa tuseme basi juu ya upotoshaji na propaganda za wapinzani.....
....CCM HAITETEREKI.....

Namalizia kuandika imeingia nyingine.....

.....CCM ipo imara. Watanzania tusikubali kuweka rehani umoja na amani ya nchi yetu......
.....Serikali ya CCM itaendelea kushughulikia kero za Watanzania.....

Naombeni msaada wa kisheria kukabiliana na Airtel....
 
Huoni hata haya wala hujuwi vibaya. Hivi chadema mna kipi haswa cha kujivunia? Kudakia na kuiba hoja za CCM, mpaka Vua Gamba mnaishadidia utafikiri hiyo hoja mlianzisha nyinyi.

..,tutaka kuona kweli mkivua hayo magamba,mbona kimya?...kiboko yenu EL nyie hamna lolote!
 
Aje t kama ajapingwa mawe sisi wa a town unafiki hattaki we katiza na ccm yako tkuchape bakora
 
Atakuwa amepotea njia,

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…