Duh kakake nape anafanana na nape kopiraiti...inaonekana mzee nnauye akuwa na mchezo kwenye kazi muhimu za kutengeneza watoto...kumbe nape kapata jiko...hongrea mwanajf nape kwa kuwa na jiko ....kazi si kuoa, kazi ni kudumu na ndoa, all the best.............