Nape, Mnyika, Mtatiro: Wapi Itikadi Zenu?

Hili swali linamhusu nape pekee. Maana bado anahubiri ujamaa na kujitegemea na kwamba chama chake ni cha wakulima na wafanyakazi.
 
ww ume2mwa na nape hili halina ubishi

Inabidi ifikie mahali watanzania waelewe dunia inayowazunguka imejengwa na vitu gani kimtazamo n.k. Kuna dalili kubwa sana kwamba wewe pia umepungukiwa katika ufahamu huu, kwani kama umenisoma na kunielewa, ninayoyazungumza yapo, whether uwe mtu wa CCM, CDM, CUF, NCCR, CCK, Jahazi Asilia n.k. Jitahidi kuelewa mada hii.

Na mimi sio mtu wa kutumwa na Nape, wala mabosi wakubwa wake. Nina mawazo huru, vinginnevyo nisingekuwa nakikosoa Chama Cha Mapinduzi kama ninavyofanya mara kwa mara. Nape ana akili zake, na mimi nina akili zangu. Akitaka aje hapa huyo Nape tujibishane kwa hoja, kwani hata yeye Chama Chake hakina mwelekeo wa itikadi kwa miaka 20 sasa, na kinakimbilia kifo.
 
Topical,
Kuhusu hoja yako ifuatayo:
Itikadi yoyote ile bila uongozi haina maana yoyote ile kwani itikadi zote zina faida na hasara; tena kwa viwango vinavyofanana.

Ningependa kwanza kujua nini ni itikadi yako wewe binafsi.
 
Back
Top Bottom