Kama kweli ana ngozi ngumu, atutajie ID yake humu! Maana wenzake akina Zitto, na Mwigulu pumzi zimekata! Wengine akina Juliana Shonza, hata hawajulikani waliko!
Au ndiyo huyu nanihii huyu mwenye hii ID hapa........!!!
Nape ametujeuka...hela zetu nyingi sasa zinaishia kwenye bundle badala ya unga na ndio maana njaa inazidi kulalamikiwa + ugumu wa maisha...walianza kwa bando za bei rahisi baada ya kuona tumekuwa addicted sasa wametupandishia nawanajua tutanunua, badala ya kuogopa kumsema hapa tumwambie ukweli...jina lake halipo kwenye wakombozi wa walala hoi 😭
Aendelee kuwa nasi ila aje na hekima na busara ambayo mara zote amekuwa hana, amejaa dharau jeuri na kibri na kutetea makampuni.
Japo tunampenda vilevile ni mwanetu sana zipo nyakati hufanya kusudi na nyakati za bila kusudi.
Nape bhna mwanzo alivyo fukuzwa na jpm nilimuone huruma Sana
bas bhna mungu si kaamua ugomvi jpm akaondoka wengi tukajuwa lzm arudi wizarani.jamaa alivyo rud alikuta gb 1 Ni buku hatujaa kaa sawa gb moja ikawa buku 3 hatujakaa sawa amekuwa msemaji wa makampuni hayo hayo ya simu yanayotunjonya vilivyo
Kwa kifupi sna mh waziri umeniudh Sanaa na mbya Zaid umesahau uliko toka
Kama anaona mawazo ya watu juu yake ni jambo jema nipende kusema nape ni mchumia tumbo anatetea sana makampuni kama vile ndo yalimpa kura anasahau wananchi wa kijiji chake wanateseka kuanzia kwenye bundle mpka utekelezaji wa miradi.