Nape: Lowassa kapoteza sifa ya kugombea


kwanza nikiri kwamba siipendi ccm yote , hata wewe ukiwemo , na nitahakikisha mnang'oka 2015 , lakini nakupongeza kwa msimamo huu tu !
 

Nape utapiga blaha blaha sana lakini tunaofahamu tunajuwa nini unalenga kulingana na uhusiano wako HASI na Lowassa. Kila Lowassa anapotangaza nia ya kugombea japo KIANA unakuja na tamko lako kwamba kila anayetangaza nia ya kugombea kabla ya wakati anajiondolea sifa ya kugombea kwa tiketi ya CCM.

Lakini wana-CCM waliokwisha tangaza nia ya kugombea URAIS kwa tiketi ya CCM ni wengi na hatujakusikia ukitoa hilo angalizo/onyo. Nitawataja kwa uchache waliokwisha tangaza nia ya kugombea URAIS kwa tiketi ya CCM japo kiana kama Lowassa
  1. Benard Membe
  2. January Makamba
  3. Samuel Sitta
  4. Frederick Sumaye


To mention the few, mbona hawa wanapotangaza/walipotangaza nia ya kugombea hukutoa hilo ONYO/ANGALIZO kama unavyofanya kwa Mhe. Lowassa. Wote wajanja tunaoafahamu 2 + 2 = 4 tunajua hilo angalizo lako limemulenga nani. Lakini wale wanaofikiri 2 + 2 = 22 ndiyo wata buy hizo propaganda zako. Mwenye Macho haambiwi tazama na mwenye masikio haambiwi sikia.
 
Nape haogopi hata wazee..!! Lowasa ni mzee, mheshimiwa, mchapakazi, tajiri, sio mchoyo, ni mfadhili wa ndani, mwenye kuthamini watu, mtoaji wa zaka, sadaka na michango makanisani, mwezeshaji wa vijana, n.k.

Kutoa sio tatizo. Tatizo ni vyanzo vya mapato. Vyanzo vingejulikana mbona haina noma.
 
Mkuu mbona sikuelewi?! uko upande wa nani?! ushajikatia tamaa au unakula kotekote?
Je ushauri wako ni ili ccm iendelee kutawala au unajipendekeza kwa lowasa?
Nachochea kuni, kuhusu Lowasa ningependa afe kabisa huyu mnyama maana ni muuaji kama kilivyo chama chake....
 

Sawa kijana ila marekebisho kidogo,siku nyingine usiseme "swala" sema 'suala'.

Swala ni mnyama wa porini

Suala ni jambo fulani lolote.
 
Nape Mussa Alli Nnauye hakika unajidhihirisha umesimama wapi. na ni dhahiri umesimama na wale waliokuwa uwanja wa taifa wakitoa ahadi za Mosses na Joshua, Wao wanapotangaza nia hujathubutu kutamka kuwa wamekiuka kanuni, Lowassa katamka kuwa safari ya ndoto yake, hajasema urais...tayari unamhukumu na unazungumzia rushwa. Ukiambiwa toa idhibati huna. sijui tukueleweje. Busara inanituma nikushauri uwe mkimya usiwe mwenye upande. Maana unapoegemea ndipo utakapoangukia..na si kwingine ila ni kwa akina Sitta, Mwakyembe na wenzako wengine. Mbona wewe pia ulikuwa na safari ya ndoto yako ya kukitumikia chama? jee ni kosa kwa Mheshimiwa Lowassa kuwa na safari ya ndoto yake ya kuutumikia Umma?..wee mtoto acha kupiga mayowe...waache watu waone wenyewe....
 
Kweli Maccm ni manafiki sana, yanamshadadia Zitto kutangaza kugombea huko wao wakizuiana kutangaza nia
 
Many like nnape nauye will be jailed once lowasa gets into power, Lowasa is a man of action hata kama ukipinga coz actions sound louder than words za nnauye.
 
Sawa kijana ila marekebisho kidogo,siku nyingine usiseme "swala" sema 'suala'.

Swala ni mnyama wa porini

Suala ni jambo fulani lolote.

na pia asiseme "hichi" aseme hiki. "Hichi" siyo kiswahili fasaha.
 
=> Nape lacks composure, maturity, & low IQ
 
Pamoja na kutomshabikia Lowassa lakini kitendo chake cha juzi kuweka wazi nia yake nimekipenda sana. Wengine wanataka lakini wananena kwa lugha (talking in toungues). Lowassa hajasema anataka kugombea kwa tiketi ya CCM kuna vyama lukuki na ana haki ya kugombea kupitia vyama hivyo. Nyerere alitabili mpasuko kama huu. Tusubiri
 
Nashukuru kiongozi wetu wa chama kwa ufafanuzi ila Nina swali, je wanaokiuka utaratibu wanachukuliwa hatua gani?
 
Nape pole mpiganaji ulioko ktk ya kundi la mbwa mwitu,kwa taarifa yako niko monduli lowassa kawambia madiwani wake yeye ndio rais wa tz 2015 na anasikitika hana mpinzani maana chadema wameshamalizwa na zitto na usalama wa taifa hivyo hana mpinzani tena juzi tarehe 1/1/2014 kagawa pesa kwa vijana wa vyuo hapa arusha na fulana/tshirt zilizo andikwa friend's of lowassa, ambazo zitagawiwa nchi nzima, ccm poleni maana huyu mwizi fisadi lazima atawasambaratisha pende msipende.
 
Reactions: Sal
Nimkang'anyo wa mawazo. All in all, hakuna aliyemsafi ccm kiasi cha kuiongozo hii nchi 2015. Hata akitoka nje ya hao mnaowataja bado atakuwepo kulinda maslahi yawaliomweka madarakani. 2015 rais atatoka cdm, huu ndio mpango kamili na hakuna wakulizuia ili. Yanayoendelea cdm ni changamoto ambazo haziwezi kulinganishwa na uchafu ulioko chama tawala kiasi cha kuwafikiria tena 2015.
 
Hawa walitangaza nia lini? Sina hakika kama ni kweli labda kama unazungumza hisia za vyombo vya habari.
 

Heheee! uliambiwa njoo CD uwe huru ukakataa! Angalia unavyojiumauma! Mara hukumtaja Lowassa, Mara hatumuogopi mtu!! Nape Lowassa hafai kuwa raisi kabisa wala hafai kuwa kiongoozi! Lin pia Ccm haina tena sifa ya kuiongoza Tanzania!
 
Lowasa next president wa TZ. Inawezekana
 
Reactions: Sal

Unafaa sana kwenye taarab kwa kuwa sifa mojawapo ni vijembe nawe ume-qualify.

Enhe tueleze zile 90 days za kina Lowassa & CO ziliishia wapi?
 
Kweli Maccm ni manafiki sana, yanamshadadia Zitto kutangaza kugombea huko wao wakizuiana kutangaza nia

CCM walikuwa behind Zitto's blunder ndio maana wanajitahidi kumkingia kifua.
 
Reactions: Sal
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…