Nape, Labda ukisoma hapa itakusaidia!

Ipingeni hoja ya Nape. Kumpinga yeye hakusaidii sana. Ni kweli Dr Slaa anakung'uta dola elfu5 kwa mwezi? Aliyoyasema akiwa MBUNGE kuhusu mishahara ya wabunge ilikuwa kujitafutia umaarufu tu wa kisiasa?
 
Nnape ni bogus tu,Kama anaweza kusema Dkt wa ukweli Willbrod Slaa ni fisadi kisa analala kwenye nyumba ya kioo!!,akili au matope?
 
Najua Nape ni member humu. Ushauri wangu kwake ni kwamba kwa sasa aachane na Chadema, aelekeze nguvu zake kwa mafisadi ndani ya chama chake. Nape hana uwezo wa kupambana na Chadema, na hasa Dk Slaa!
 
Sishangai kwa maneno yako. Watu wa magamba wote akili zenu hazifikirii zaidi ya pua na matumbo yenu. Uwezo wenu wa kufikiria ni mdogo mno.
Pamoja na haya uliyoandika hapo juu bado naamini unawazidi hekima viongozi wako. Mwenyekiti wa Chama chako na wasaidizi wake ni mbumbumbu zaidi. Nafuu hata weye umeanza kwa kukosoa jina viongozi wa chama chenu wangeishia kusema nawaonea wivu.
Yeelewi.....! Magamba.... mwaka huu ipo kazi!

Tatizo hawa hawana muongozo (CCM Imepoteza Dira; Kolimba). Mpaka leo hawajamuelewa.:smow:
 
Najua Nape ni member humu. Ushauri wangu kwake ni kwamba kwa sasa aachane na Chadema, aelekeze nguvu zake kwa mafisadi ndani ya chama chake. Nape hana uwezo wa kupambana na Chadema, na hasa Dk Slaa!

Nape hapambani na Dr Slaa. Anapambana na hoja za Dr Slaa. Mpeni nafasi. Baadhi yetu tunayasubiri majibu toka kwa Dr Slaa. Ni kweli analipwa kama David Beckham kule LA Galaxy?
 
Mkuu hatupo hapa kumshambulia Nape kwa sababu ya U-CCM wake, lahasha!!! ila kwa sababu ni kijana mwenzetu... Nionavyo mimi Nape anacheza ngoma ambayo hata JK mwenyewe imemshinda!!! Why? Kitendo cha JK kuchelea kuwafukuza mapacha watatu instantly kimeonyesha udhaifu mkubwa wa kiutawala. Sababu ya kuchelea huku sasa mafisadi hawa washajipanga upya na tayari kazi ya kuwang'oa CCM ni almost impossible. Mukama mwenyewe kathibitisha hili pale alipojibu swali la mwandishi wa habari juu ya kufukuzwa kwa Mapacha hawa(lini wangepewa barua za kufukuzwa)...alijibu hivi..."hakuna popote katika minutes za kikao cha NEC-CC ambapo ilitajwa kuwa mafisadi walipewa miezi mitatu.."

Ikumbukwe kuwa Mukama na Nape wote walikuwa wakiimba wimbo mmoja mwanzoni...mafisadi watoke CCM...lakini ghafla Mukama kabadilika!!!! Hapa ndipo wadau tunaanza kumhurumia kijana mwenzetu Nape!!! Huenda Kiherehere chake cha kujifanya kimbelembele katika vita ya kuwang'oa mapacha watatu CCM kikamgharimu baadae.

Hata hili la kumbwatukia Dr. Slaa eti ni fisadi kisa mshahara anaolipwa nako ni kutumika vibaya. Mshahara wa mtu tangu lini ukawa ufisadi ilihali hilo ni jambo la kimkataba(makubaliano). Kama CDM wenyewe wameridhika kumlipa hiyo pesa ni juu yao kugh'amua hilo. Ufisadi unaopigiwa kelele Tanzania ni ule wa wizi/ubadhirifu wa mali za umma.
wewe mwenyewe hujatulia sijui ndio fisadi maana hata jina la baba Nape hujui kuliandika: Nnauye sio kama ulivyoandika wewe.

Pili ujumbe wako hauna maana hata tone. kaa utulie kama umefulia utajiju
 
Acha kumfuatilia Nape wafuatilie Viongozi wako wa Chadema,pilipili usio ila inakuwashia nini? Nani kakwambia mafisadi wameachwa?
Mwambie na Nape afuatilie magamba yake ya CCM aachane na viongozi wa CHADEMA, kwanza Slaa sio size yake, asubiri kupambana na Mnyika Ubungo!
 
Well said bro jamaa mlopokaji tu,hawezi kushindana na nguvu ya uma wa lowasa....hakumsikia lowasa alivyosema akukutana na jk barabarani

... thats it. La uhakika ni kwamba Nape anapiga kelele kama alivyoagizwa na babu Tingatinga. Hata kibeti cha ugoro wa Tingating Nape huyo huyo anambebea! Katika hili Lowasa keshafunga goli la kisigino siku nyingi. Sasa Nape is digging his own political grave. Siku inakuja atajifunikia humo mwenyewe.
 
wewe mwenyewe hujatulia sijui ndio fisadi maana hata jina la baba Nape hujui kuliandika: Nnauye sio kama ulivyoandika wewe.

Pili ujumbe wako hauna maana hata tone. kaa utulie kama umefulia utajiju

Chama Cha Majoka..........pumba zao zinatosha kabisa kuwatambulisha
 
wewe mwenyewe hujatulia sijui ndio fisadi maana hata jina la baba Nape hujui kuliandika: Nnauye sio kama ulivyoandika wewe.

Pili ujumbe wako hauna maana hata tone. kaa utulie kama umefulia utajiju

LOL!

Ukikamatwa ugoni bwana,

"ooo mara hii sio, ooo mara namfundisha hisabati, ooo mara naziba dari linavuja, ooo mara oooo"

Unamfundisha hisabati mke wa mtu,

Kama huna cha kuandika ni bora usome tuuu uelimike,

Pengine malaika wa kheri atakupitia utaokoka!
 
hiki kama sio KIWAVI ni nini? :majani7:
wewe mwenyewe hujatulia sijui ndio fisadi maana hata jina la baba Nape hujui kuliandika: Nnauye sio kama ulivyoandika wewe.

Pili ujumbe wako hauna maana hata tone. kaa utulie kama umefulia utajiju
 
Mtu akiropoka unachoweza kumsaidia ni kumtazama kumshangaa na kwenda zako. DONT ARGUE WITH A FOOL CAUSE PEOPLE MIGHT NOT NOTICE THE DIFFERENCE!

Namshauri Nape amtafute Mzee Butiku watete. Anaweza kupata lau kabusara kadogo
 
Akili ya huyu dogo naifananisha na (DYNASU), mnyama mkubwa lakini akili yake ndogo kama chembe ya haladani. Ukiona mwanaume kazi yake ni kufuatilia kilichoandikwa kwenye simu ya mkewe all the time ujue si riziki. Ukaona mwanaume kazi yake kubw ni kubadilisha majini kwenye facebook, JF na kwingineko ili aweza kukamata waliowahi kuwa na uhusiano wa mapenzi na mkeo basi ujue thinking capacity ni ndogo kuliko ya watoto wa NURSERY.

Kwa hiyo leo hii unampa kazi ya wenye hekima afanye mtu kama huyo nasikitika sana na sijui wapi tunakoeleke. Huyo uropokaji wake siyo majukwaani tu ndivyo alivyo. Mtabaki mnshangaa nyei msiomjua sisi tunaomjua kuanzia anakozaliwa, ndugu, familia hatushangai sana.

Ila tu tunaomba Mungu amtendee muujiza ili apate uelewa.
 
Kapt. Komba alikuwa mtumbuizaji mzuri wa sera za CCM, sasa amebaki ni mtu wa kusinzia bungeni. Nnauye naye kaja na staili yake ya kutumbuiza sera za Magamba, sina hakika kama anahitaji transfer kwenda TOT. Inaonekana anaweza kumudu huko TOT na si kwenye serious political and security discussions.

13.JPG


15.JPG


DSC04369.jpg
 
Nape ni mbuzi wa kafara kwani Kikwete hana ubavu wa kuwathibiti wakina Lowassa hivyo kujikinga anawatumia hawa vilaza kufikia lengo lake la kuwatosa waliomuingiza Ikulu; kwa bahati nzuri hao mafisadi wanamuelewa Kikwete kama table ya pili katika hesabu na ndio maana wameanza kwa kumtumia Mtikila amuumbue Kikwete na mali alizonazo kwa kumshutumu mwanae Ridhwani!! Hilo wamefaulu kwani Kikwete kakunja mkia wake na wala hutamsikia Nape au Mukama wakizungumza juu ya siku 90 au 120 za kuwafukuza mapacha watatu!! They know so much about him that they have blackmailed him hence incapacitating him completely!!

Mheshimiwa Ndinani

You've nailed it!! Sina cha kuongeza kwani hiki ndicho kilichotokea kwa wanao ona mbali.
Kula ishirini, miguu na mikono maanake!
 
Dogo nape kageuka Tambwe hiza ghafla. Afadhali hiza inajulikana wazi kwamba shule ni mgogoro. Nape yeye kenda shule hata kama ufaulu kwake ulikuwa ni fumbo la itikadi. Hivi dr Slaa kulipwa m7.5 kwa mwezi ni ufisadi? Namuuliza Nape kuna uwiano gani hapo na kagoda ya bl40 kukwapuliwa? Haya basi mishahara ya wabunge ni ufisadi? Kama ni ufisadi mkuu wake jk anasema je kuwa na bunge la kifisadi? Dogo nape acha propaganda na hima tueleze gharama ya maisha itashushwa je na serikali yako. Nape kanusha kama serikali haichukui kodi ya elfu moja sh kwa kila lita ya mafuta.
Dogo nape nini kimekusibu hata kinywa chako sasa hakithubutu kutaja tena kina RACHEL? NI jk alikuingiza kingi? Suburi sasa hizo siku tisini tuone kama ni Rachel ama wewe wakuvuliwa gamba.
Oohooo usichezee korodali za nyati kwa matarajio kwamba mbio ndio zitakazo kuokoa. Subiri sasa kichapo cha RACHEL.
YETU MACHO!
.
 
Back
Top Bottom