Nape, Labda ukisoma hapa itakusaidia!

A good politician must be running under very long life strategic plans. if not, he/she will perish politically before the success. Cha ajabu ni kwamba NAPE is without strategic plans(na ndio maana tunamuonea huruma huyu kijana kuanguka kisiasa mapema kiasi hiki)
 
wewe mwenyewe hujatulia sijui ndio fisadi maana hata jina la baba Nape hujui kuliandika: Nnauye sio kama ulivyoandika wewe.

Pili ujumbe wako hauna maana hata tone. kaa utulie kama umefulia utajiju

Wewe hebu acha ujinga kwani kukosea kuandika jina kunaondoa maana ya kile alichokieza? Huyo Nape tushamchoka na makelele yake!
 
Wapendwa wana JF ufuatao ni ujumbe wangu kwa Nape Mnawiye kufuatia mashambulizi yake kwa CDM akijaribu kukwepa ahadi zake za kuwapa Mapacha watatu siku 90. Naomba nyongeza na mtazamo wenu katika hili maana itamsaidia jamaa kujua kama anachapia au amewini bingo.

Nape.....! Nape.....! Nape.....! Nape.....!
Tangu ulipoteuliwa katika Kamati Kuu Mpya ya chama chako cha Magamba umekuwa msemaji/mropokaji sana na umesababisha baadhi ya watanzania kudhania JK anakuunga mkono kuwashambulia mafisadi wenzenu usiokubaliana nao. (wenye kuelewa tunajua ulikuwa unakurupuka tu maana hakuna siku JK atashirikiana na wewe against RA au EL).

Baada ya kuonywa na mabosi wako dhidi ya uropokaji sasa unataka kujaribu kuwashambulia Chadema ukidhania itabadilisha mitazamo ya wanajamii waliochoka na chama chenu na kurejesha kijiheshima kidogo ulichostahili. Hapo umepotea zaidi maana kinachotukera ni ufisadi wenu mkubwa ambao unasababisha asilimia 100 ya matatizo yote yanaoyoweza kudhibitiwa na binadamu katika nchi yetu. Pengine huna akili ya kuelewa hilo lakini ukweli ni kwamba hata ile rushwa ndogo ya serikali za mitaa inasababishwa na rushwa kubwa ambazo zinamnyima mwenyekiti wenu moral authority kukemea maovu mengine yote katika jamii.

Mimi naamini hata hiyo nafasi ulipewa kwa sababu walidhania ufisadi wako binafsi umejificha kidogo katika jamii kuliko wengine na ingeweza ku-buy time wakati mafisadi wakuu wanajipanga kuweka kibaraka wao mwingine ikulu kupitia chama chenu ifikapo mwaka 2015. Mungu atuepushe na dhahama hiyo. Ndiyo maana tunawaunga mkono Chadema si kwa kuwa wewe unawasilfu au la bali kwa kuwa wanaweza kutusaidia kutuepusha na fisadi mwingine hapo Magogoni.
Ukichunguza vizuri utagundua hata ukuu wa wilaya ulipepa ili utulie maana wakubwa waliona umezidi kelele. Chama chako na viongozi wake wote mnajijua mlivyooza na unyoka wenu, ndiyo maana mnatoa mifano ya kujivua magamba. Nyoka ndiyo wanaojivua magamba na si wanasiasa. Wanasiasa wanawajibika na kusafisasha vyama vyao.

Nakushauri utafute approach nyingine ya kupata umaarufu maana, ufisadi wa Slaa (hata kama upo kweli) si ajenda ktk Tanzania hii mliyoifilisi kwa matumizi yenu mabaya na kutusababishia maisha magumu wakati baba zenu na viongozi wenu wakiendelea kutajirika kwa ufisadi.


Kila mtu ndg. yangu anao uhuru wa kutoa maoni yake lakini maoni ya mtu mwenye BUSARA utayajua na Maoni ya mtu aliyetoka MIREMBE pale Dodoma nayo utayajua. Mwenyezi Mungu akusamehe kwa kutumia vibaya uhuru wako wa kutoa MAONI. RUSHWA inasemwa hata kweta kwenye vitabu vitakatifu. Kama watu wako wamefisadi kubali ufisadi wao si kudai si ajenda.
 
Nape kamuulize Mh Nkapa, tulipompangisha pale Magogoni kutupa imani naye, alituambia ana vijumba 2, Tugari sijui 3, Sh 1m bank na shamba la ekari 10. Lakini alivyoondoka ameondoka mpka na Kiwira, mamaa ndo usiseme tena. Je, huyu mwana Magamba mwenziyo ni fisadi au la!
Geuka nyuma, kamuulize Ngeleja hiyo Shs 46bl, aliyowalipa IPTL ndani ya miezi 3 ilipitishwa na bunge lipi, imetoka vote ipi.
Usihishiye hapo, kabishe hodi kwa m/kiti wako, hakikisha wale walinzi wasioonekana wanakupa idhini kisha nena naye, muulize wale waliorejesha fedha za EPA ni akina nani kwa majina yao, na hizo fedha ziko wapi; hatua ipi imechukuliwa dhidi yao.
Tafadhali panda bajaji nenda kwa muhishimika EL, muuliziye hivi Rich monduli ni ya nani na ni kwa nini alikuwa anaandika vimemo ili ipewe tenda. Tafadhali endelea kuyatunza moyoni, yaani ruhusu moyo wako kuwa puto ili uweze kupokea zaidi.
Piga mbio kwa Nadhir Karamagi, mwana magamba safi, muulize zilitoka wapi fedha za kununua Tshirt, skafu, khanga, kofia, na kuchapisha picha za mgombea 'wa maisha bora kwa kila mtz' mwaka 2005, ulize jumla ya fedha iliyotumika kisha gawia idadi ya wana Magamba hai jibu ulilopata linganisha na wana magamba wote.
Safari ndo imenoga kimbia kwa Zakia M, muulizie kule mbugani ambako Mungu kwa upendo ameweka wanyama wa mwitu ili watalii watuletee fedha za kigeni, ni vitalu vingapi alipiga dili na ni kwa faida ya nani, msikilize kwa makini uweze kuona kama shangazi yako ni miongoni mwa atakao wataja kunufaika na hilo deal.
Rudi kwa Karamagi, muuliziye tz ina aina ngapi za madini, na je mwanakijiji wa katerero, lunyigo, Gambushi na vijiji vingine vya tz anafaidika vipi na mikataba ya miaka 25 wa hao wawekezaji.

Kisha tutungiye wimbo wa ufisadi, njoo jukwaani tuimbiye nasi tutakuwa pamoja nawe.
Nakusalim ktk jina Tanzania saa ya ukombozi ni sasa, sauti ya ukombozi haitajamazishwa na porojo.
 
Acha kumfuatilia Nape wafuatilie Viongozi wako wa Chadema,pilipili usio ila inakuwashia nini? Nani kakwambia mafisadi wameachwa?

Wewe ndiyo kichaaaaa kweli. Nani alikuambia mpaka ule pilipli ndiyo ikuwashe? yaonyesha jinsi ulivyo poyoyo wa kufikiri kama kaka yako Nape na JK
 
Kila mtu ndg. yangu anao uhuru wa kutoa maoni yake lakini maoni ya mtu mwenye BUSARA utayajua na Maoni ya mtu aliyetoka MIREMBE pale Dodoma nayo utayajua. Mwenyezi Mungu akusamehe kwa kutumia vibaya uhuru wako wa kutoa MAONI. RUSHWA inasemwa hata kweta kwenye vitabu vitakatifu. Kama watu wako wamefisadi kubali ufisadi wao si kudai si ajenda.

Yaelekea wewe umetumwa na huyo mjomba wako NAPE. Sasa nakuhabarisha kuwa, mwisho wenu umeshafika, tieni maji msije nyolewa kichwa kikiwa kikavu.
 
Yaelekea wewe umetumwa na huyo mjomba wako NAPE. Sasa nakuhabarisha kuwa, mwisho wenu umeshafika, tieni maji msije nyolewa kichwa kikiwa kikavu.

Si kutumwa na Mjomba au Shangazi Mvuni!!. UTASHI NI JAMBO ZURI. Utashi ndio unaomtenganisha BINADAMU na WANYAMA wengine. Binadamu anapopungua utashi hugeuka na kufanana na wanyama. Hivi kosa la Nape ni kuyasema mapungufu ya Dr. Slaa na Mbowe???? Je mwataka kutuambia hao ni watakatifu???? mnataka wana JF waamini UTAKATIFU huo muutakao????? Vitisho ni vizuri kwa mtu asiye jiamini kwani vinampa kaujasiri. Ha ha ha ha !!! Naikumbuka hadithi ya FISI na MKONO WA BINADAMU.
 
wewe mwenyewe hujatulia sijui ndio fisadi maana hata jina la baba Nape hujui kuliandika: Nnauye sio kama ulivyoandika wewe.

Pili ujumbe wako hauna maana hata tone. kaa utulie kama umefulia utajiju

Nyamungo, isije ikawa na weye ni wale wanaojiita CCMagamba-damudamu wakati hamna kitu mfukoni! Maana, nchi hii kuna watu wanaishangilia kweli CCM kiasi kwamba hata palipo na ushahidi wa ufisadi wa wazi wao wanatetea na kusifu. Cha kusikitisha baadhi yao hawajapata hata senti katika pesa hizo.
Ukimsikia Rostam, JK, Ridhiwan, Lowasa, Mama Salma, Karamagi na matajiri wenzao wanasema wao CCMafisadi damudamu ni sahihi kwa kuwa wanachokipata japo kwa njia haramu ni kingi sasa wewe unashangilia nini?
 
Kila mtu ndg. yangu anao uhuru wa kutoa maoni yake lakini maoni ya mtu mwenye BUSARA utayajua na Maoni ya mtu aliyetoka MIREMBE pale Dodoma nayo utayajua. Mwenyezi Mungu akusamehe kwa kutumia vibaya uhuru wako wa kutoa MAONI. RUSHWA inasemwa hata kweta kwenye vitabu vitakatifu. Kama watu wako wamefisadi kubali ufisadi wao si kudai si ajenda.

Sikujua kama ninatoka Mirembe kwa kuanzisha Thread hii. Mwenzetu wewe unatoka wapi kwa kuchangia thread za watoka-Mirembe? Ndo kusema wewe upo garini kuelekea huko nilikotoka au?
Tuyaache hayo! Nia yangu ni kusema kwamba watu hawaiungi mkono Chadema kwa kuwa tu eti viongozi wake wamethibitika ni wasafi ila ni kwa sababu wanatafuta m-badala wa Nyoka Magamba ambao wamezidi kwa ufisadi na hajui walifanyalo tofauti na kula. Ukisoma kwa makini utaiona hoja hiyo, ila kwa kuwa una haraka za kwenda Mirembe ndiyo maana umekurupuka. Ukitumia akili kidogo tu utagundua anachotaka Nape ni kuwaaminisha Watz kwamba hata Chadema ni Mafisadi kwa hiyo hawafai pia. So conclusion iwe nini sasa? Tuwaachie nyoka waendelee kula na magamba yao au...? Think!
 
Nape hapambani na Dr Slaa. Anapambana na hoja za Dr Slaa. Mpeni nafasi. Baadhi yetu tunayasubiri majibu toka kwa Dr Slaa. Ni kweli analipwa kama David Beckham kule LA Galaxy?
Nyinyi na wanamagamba wenzenu wote ni wafinyu wa kuelewa kama huyo Nape wenu mmekosa la kusema sasa mnaropoka tu mkidhani watanzania wajinga kama nyinyi. Hivi hamuoni tofauti kati ya mshahara na ufisadi nyinyi maboga kweli nyinyi wenyewe mnakiri kuwa Dr. Slaa anaplipwa mshahara wa kiasi hicho mnachokitaja nyie. Lakini Dr. anapozungumzia EPA au Richimond haihusiani kabisa na mishahara ya watu hao wanaotuhumiwa kwa ufisadi ufisadi ni kuhujumu taifa kwa kuchota pesa zisizo halali!! Sasa kama Dr. analipwa na chama na chama kimeridhia malipo hayo huo sio ufisadi!! Hiyo inaonyesha kuwa chama kinaridhika na kazi za Dr.!! Hiyo pesa haichukuliwi kiwizi!! ni pesa iliyoidhinishwa na kamati halali za chama! Sasa ndo kusema hamjui tofauti kati ya ufisadi na mshahara? nyinyi kweli mazumbukuku!!!
 
Wewe si tunakujua hata wewe ulikuwa mpambe wa nape pale ubunge kabla hamjapigwa za uso, pamoja na kuwa na hela za epa za jeetu patel hamkufua dafu, shame on you wazee wa magamba , jenga hoja siyo kuponda tu na kusifia upuuzi kuna mtu yeyote mwenye akili timamu asiyejuwa mapungufu makubwa ya ccm na mkiendelea hivi mmekwisha, kwa karne ya sasa mtu anayesoma gazeti la uhuru, kumsikliza kibonde,kumsikiliza tambe hizza, nape na kushabikia ccm no way huyo mtu ni mpuuzi, naomba mnisamehe kwa kutumia hilo neo ila dalili moja wapo ya kuwa na mtindio wa ubongo ni kushabika ccm hasa kwa kijan kama wewe
sheme on u , muone hata haya huna au ndiyo viwavi mnaotajwa humu maana umejiunga juzi tu baada ya ule utafiti wa kijinga ambao ccm wamesema jf ni mali ya chadema wakati mmilki wake ni kada wa chama , hamjui hata mahali pa kuulizia mmilki ni nani, nyie nendeni tu kwenye mitandao yenu ya ze utamu na facebook, mtu mzima mwenye akili kama wewe hatukutegemea kuzungumza vitu irrelevant kama hivyo possibly hata basic education hujapata
si kutumwa na mjomba au shangazi mvuni!!. Utashi ni jambo zuri. Utashi ndio unaomtenganisha binadamu na wanyama wengine. Binadamu anapopungua utashi hugeuka na kufanana na wanyama. Hivi kosa la nape ni kuyasema mapungufu ya dr. Slaa na mbowe???? Je mwataka kutuambia hao ni watakatifu???? Mnataka wana jf waamini utakatifu huo muutakao????? Vitisho ni vizuri kwa mtu asiye jiamini kwani vinampa kaujasiri. Ha ha ha ha !!! Naikumbuka hadithi ya fisi na mkono wa binadamu.
 
Mbona Nape anataka kuanza vibaya!! Mtu mzima akifikia mahali anafananishwa na Makamba na Tambwe Hiza huko ni kutukanwa bila staha. Ajenge HOJA hata kama ni kweli Dr Slaa ni Fisadi, yeye hana serikali,hivy fedha za serikali ni salama kama CCM na Serikali zake wangekuwa wasafi. Baya zaidi ajenda anayojaribu kuibua tayari imekwisha tolewa ufafanuzi.
 
wewe mwenyewe hujatulia sijui ndio fisadi maana hata jina la baba nape hujui kuliandika: Nnauye sio kama ulivyoandika wewe.

Pili ujumbe wako hauna maana hata tone. Kaa utulie kama umefulia utajiju

insane!!!
 
Si kutumwa na Mjomba au Shangazi Mvuni!!. UTASHI NI JAMBO ZURI. Utashi ndio unaomtenganisha BINADAMU na WANYAMA wengine. Binadamu anapopungua utashi hugeuka na kufanana na wanyama. Hivi kosa la Nape ni kuyasema mapungufu ya Dr. Slaa na Mbowe???? Je mwataka kutuambia hao ni watakatifu???? mnataka wana JF waamini UTAKATIFU huo muutakao????? Vitisho ni vizuri kwa mtu asiye jiamini kwani vinampa kaujasiri. Ha ha ha ha !!! Naikumbuka hadithi ya FISI na MKONO WA BINADAMU.

Chama Cha Majambazi wametuma majambazi wengi humu mtandaoni!!!!!!!!!!!!
Hivi unataka kusema tuache kabisa kufuatilia raslimali zinazoibwa na hawa majambazi kwa sababu za kufikiria ufisadi wa Slaa na Mbowe ambao hawajakabidhiwa jukumu wala raslimali zozote za nchi hii.!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
asante sana kaka kwani umenena kwani huyu jamaaa ni fisadi pia kwani hawezi kuvaa kofia mbili kwa wakati mmoja
nahoji,je kazi za mkuu wa wilaya anafanya nani mudaa huuu anaofanya propaganda?au ndokula kodi ya wananchi masikini kwa mishahara isiyo na tijaaaaaaaaaa,inauma sana ndugu zangu:A S 103:
 
Unajua siku zote wameshindwa kupata kashfa ambazo zingeweza kuwabana viongozi wa CHADEMA ili wapate pa kuwadanganyia wananchi,wanachokifanya sasa ni kuokota hiki na kile ili wakiongea wasikike kwa wananchi hivyo kuizorotesha CHADEMA.Hicho ndio anachokifanya Nape bila kujua kwamba tangu alipochukua hako kacheo heshima aliyokuwa nayo mwanzo imepotea kabisa.Mwisho wa siku atakuwa kama Tambwe na atakufa kifo cha mende kisiasa.
 
Back
Top Bottom