Saint Ivuga
JF-Expert Member
- Aug 21, 2008
- 55,024
- 59,685
Nape mtoto mdogo tu, hawawezi kumpeleka India. Wazee wanajua anapayuka tu, hajui analolitenda. Sema sasa adhabu yake ni kuondolewa kwenye system ya CCM kabla au just after 2015, wakimhurumia sana anapigwa transfer Mtwara (kwa majukumu mengine ya kichama).
Mtoto haramu ni haramu na tabia zake ni za kiharamu! kama kweli NAPE ni mtoto wa nje ya Ndoa kama tunavyosikia basi alikosa mapenzi ya Baba na Mama na hivyo amekuwa na tabia ya kiharamu haramu!
Kenge huwa hasikii mpaka umpige hadi damu zimtoke maskioni nda ataskia.Nape kutokana na vita uliyokuwa unaiendesha inabidi uwe makini sana ....sio kunywa kunywa mimaji tu juu ya meza zenu hizo au kutumia tumia vitambaa...kuna kitu kitaitwa ''polonium''...ni hatari...
''tunataka kuwalinda wanasiasa wachanga na machachari dhidi ya makupe'' kwa hio huu uzi mod msiutoe.
Ingawa Simpendi nape na pia Siipendi CCM, lakini hapa hujaongea kitu cha maana.....Hakuna mtoto haramu na halali..kwani huyo haramu alitokea mbele au nyuma? si wote wametokea sehemu moja? Acha kuwa mfuasi wa misemo inayotugawa bila sababu ya msingi ilihali sisi wote ni watoto wa mungu..na hii Dunia ni ya mungu kwa ajili ya watu wote....Usirudie tena kumuita binadamu mwenzio haramu.Mtoto haramu ni haramu na tabia zake ni za kiharamu! kama kweli NAPE ni mtoto wa nje ya Ndoa kama tunavyosikia basi alikosa mapenzi ya Baba na Mama na hivyo amekuwa na tabia ya kiharamu haramu!
mkuu umeongea sawa hapa tatizo sio kumsema nape peke yaje tatizo ni ccm nzima ndio imeozaIngawa Simpendi nape Siipendi CCM, lakini hapa hujaongea kitu cha maana.....Hakuna mtoto harama na halali..kwani huyo haramu alitokea mbele au nyuma? si wote wametokea sehemu moja? Acha kuwa mfuasi wa misemo inayotugawa bila sababu ya msingi ilihali sisi wote ni watoto wa mungu..na hii Dunia ni ya mungu kwa ajili ya watu wote....Usirudie tena kumuita binadamu mwenzio haramu.
Labda ungesema hivi....NAPE NA CC, NEC, CCM NI VIGEUGEU WALIOSHINDIKANA!
Nape kutokana na vita uliyokuwa unaiendesha inabidi uwe makini sana ....sio kunywa kunywa mimaji tu juu ya meza zenu hizo au kutumia tumia vitambaa...kuna kitu kitaitwa ''polonium''...ni hatari...
''tunataka kuwalinda wanasiasa wachanga na machachari dhidi ya makupe'' kwa hio huu uzi mod msiutoe.
Tujadili hoja na sio mtu. Huna haki ya kumhukumu mtu kutokana na wazazi wake, kwani wewe au yeye mlipata nafasi ya kuwachagua wazazi waliowazaeni?, wacha ujuha wako wewe.Mtoto haramu ni haramu na tabia zake ni za kiharamu! kama kweli NAPE ni mtoto wa nje ya Ndoa kama tunavyosikia basi alikosa mapenzi ya Baba na Mama na hivyo amekuwa na tabia ya kiharamu haramu!
Tujadili hoja na sio mtu. Huna haki ya kumhukumu mtu kutokana na wazazi wake, kwani wewe au yeye mlipata nafasi ya kuwachagua wazazi waliowazaeni?, wacha ujuha wako wewe.