Mzalendo K
Member
- Jun 22, 2012
- 32
- 13
Acha uongo.Amezomewa vibaya hapa Kimandolu mpaka anatia huruma.
Acha kupotosha Jukwaa.
Nimeshangaa sana leo nilikuwa mkutano wa CDM kata ya Kimandolu ghafla nikaona kundi kubwa la vijana wanasukuma gari, kuangalia kwa karibu nikaona gari la Nape linasukumwa na vijana wanaimba "Lema byebye"! Nikaambiwa Chalii wa CCM ameingia mjini kuja kumzika Lema! Mkutano wa Chadema ukavurugika vijana wakahamia kushangaa msafara wa Nape.
Hali ya Chadema na Lema Arusha taabani kabisa!
Acha uongo.Amezomewa vibaya hapa Kimandolu mpaka anatia huruma.
Acha kupotosha Jukwaa.
Wakijua gari lao la mishahara limeingia.Kula CCM kura CDM
Molemo,hata kama unayo sema ni kweli itakua ngumu sana watu kukuamini
Hebu omba radhi hapa jf! Nape yupi apokekewe kishujaa Arusha? Jk mwenyewe hapati mapokezi itakuwa huyu asiye mjua babake?Nimeshangaa sana leo nilikuwa mkutano wa CDM kata ya Kimandolu ghafla nikaona kundi kubwa la vijana wanasukuma gari, kuangalia kwa karibu nikaona gari la Nape linasukumwa na vijana wanaimba "Lema byebye"! Nikaambiwa Chalii wa CCM ameingia mjini kuja kumzika Lema! Mkutano wa Chadema ukavurugika vijana wakahamia kushangaa msafara wa Nape.
Hali ya Chadema na Lema Arusha taabani kabisa!