Nape Kapotelea Wapi?

Nape Kapotelea Wapi?

Mkuu naona siku hizi upo kimya sana hatujasikia maoni yako juu ya siasa zetu za kufukuzana
Mkuu Kinyungu,
Hivi ni kweli msimamo wangu juu ya kufukuzwa Kafulila hukuuona? Hapa Narudia....SIAMINI KATIKA SIASA ZA KUFUKUZA HASA WANASIASA VIJANA KWENYE VYAMA VYA SIASA BADALA YAKE VYAMA VYA SIASA VIJENGE UTAMADUNI WA KUVUMILIA NA KUWA WALEZI WA WANASIASA VIAJANA KATIKA NJIA ZIPASAZO BADALA YA ADHABU YA KUWAFUKUZA
 
Anatafakari mengi mfano Kauli ya M/Kiti wake kuwaambia CDM "Mnahoja sana ila nisipo saini wenzangu kule katika chama hawatanielewa". Anatafakari alivyo livalia njuga suala la kuvua gamba akiamini rais yuko pamoja nae kumbe mwenzake ana mgwaya Lowasa, M/kiti wa chama na ndio mkuu wa nchi ana mamlaka kote lakini anachimbwa biti kali na Lowasa akanywea sembuse yeye pangu pakavu!!!

Anatafaakri atarudi katika nafasi yake baada ya uchaguzi wa chama? anatafakari namna watakavyoweka watu wanao muunga mkono katika nafasi za uongozi wa chama katika uchaguzi wa mwaka huu.

Ana mengi ya kutafakari anaweza zeeka ghafla tusishangae
 
tukio gani la kisiasa kubwa kama unavyosema ambalo sijatoa maoni/ ushauri/ msimamo wa Chama? Kwa uchache nikukumbushe tu, LILITOKA SWALA LA POSHO NIKATOA MSIMAMO WA CHAMA, SWALA LA KUFUKUZWA KAFULILA, MAFURIKO DAR NA MIKOANI, MAFUTA NK... Au mpaka nije kutoa hapa Jf? Na leo nimetoa juu ya Hamadi na kumpongeza John Mnyika kwa uteuzi wake kuwa Katibu Mwenezi wa Chadema..

Mkuu mbona hamuendelei kuvuana magamba...tunaona kimya huku magamba magumu yakiendelea kupeta...vp tupeni msimamo wa chama mkuu
 
Mkuu Kinyungu,
Hivi ni kweli msimamo wangu juu ya kufukuzwa Kafulila hukuuona? Hapa Narudia....SIAMINI KATIKA SIASA ZA KUFUKUZA HASA WANASIASA VIJANA KWENYE VYAMA VYA SIASA BADALA YAKE VYAMA VYA SIASA VIJENGE UTAMADUNI WA KUVUMILIA NA KUWA WALEZI WA WANASIASA VIAJANA KATIKA NJIA ZIPASAZO BADALA YA ADHABU YA KUWAFUKUZA

duh! sihasa za bongo pasua kichwa kwelikweli,jamani si huyu ambaye alishupalia mapacha watatu watemeshwe mzigo ndani ya sisiem?
Anamaanisha kwamba wanasiasa vijana wakikosea kwenye chama walekebishwe lakini wanasiasa wazee/wakongwe kwenye chama wakikosea wafukuzwe?
 
tukio gani la kisiasa kubwa kama unavyosema ambalo sijatoa maoni/ ushauri/ msimamo wa Chama? Kwa uchache nikukumbushe tu, LILITOKA SWALA LA POSHO NIKATOA MSIMAMO WA CHAMA, SWALA LA KUFUKUZWA KAFULILA, MAFURIKO DAR NA MIKOANI, MAFUTA NK... Au mpaka nije kutoa hapa Jf? Na leo nimetoa juu ya Hamadi na kumpongeza John Mnyika kwa uteuzi wake kuwa Katibu Mwenezi wa Chadema..

Nape tunahitaji kama una ubavu uongeleee kuhusu EPA, IPTL, DOWANS, RICHMOND, ISSUE YA DAVID JAIRO, DEEP GREEN, MEREMETA, VITALU VYA UWINDAJI, NA KUHUSU UHUSIKA WAKO KUANZISHA CCJ!!! TENA USEME KWA HERUFI KUBWA SI KWA KUBWABWAJA KAMA UNAVYOSEMAGA, JEMBE LIWE JEMBE NA SI SHOKA!!!!??? Hapo utaweza kuniconvice nisihame CCM, la sivyo muda si mrefu utasikia viongozi kadhaa wa UVCCM tena wengi tu wakihama Chama!!!!!
 
Nashukuru kwakuwa wakati nachakachua ULINISAIDIA KUCHAKACHUA........
Usishukuru kwa kusaidiwa kuchakachua, tunaomba majina ya vyuo ulivyosomea. Binafsi siamini kuwa mtu anayeona ccm iko okey anaweza kusoma Phd!
 
Nashukuru kwakuwa wakati nachakachua ULINISAIDIA KUCHAKACHUA........

Nape lakini siku hizi huonekani humu ukumbuni Mshikaji wangu? Imekuwaje? Msalimie Rejao na Ngogo hapo Lumumba.
 
Nape hivi katika Kambi za sasa hivi za Wanaotafuta Urais, wewe upo Kambi gani Mtu wangu? Niliskia upo kambi ya Sitta vipi ushahama au bado upo humo humo??
 
Unafiki wangu ni upi? au unatukana kwasababu unatumia jina bandia? Kama kwako ufisadi ni deal, huna sababu ya kumtukana anayeona si deal bali ni dhambi hata kwa Mungu
Unafiki wako ni kitendo chako cha kuamua kuanzisha CCJ ukijipambanua kama mpinga ufisadi pale ccm lakini baada ya kuhakikishiwa ulaji ukaamua kubaki kutetea mfumo unaoidhoofisha nchi. Huo ni unafiki mkubwa sana; kijana kama wewe haitarajiwi kuwa mchumia tumbo, na watu kama nyie ni janga la kitaifa.
 
tukio gani la kisiasa kubwa kama unavyosema ambalo sijatoa maoni/ ushauri/ msimamo wa Chama? Kwa uchache nikukumbushe tu, LILITOKA SWALA LA POSHO NIKATOA MSIMAMO WA CHAMA, SWALA LA KUFUKUZWA KAFULILA, MAFURIKO DAR NA MIKOANI, MAFUTA NK... Au mpaka nije kutoa hapa Jf? Na leo nimetoa juu ya Hamadi na kumpongeza John Mnyika kwa uteuzi wake kuwa Katibu Mwenezi wa Chadema..

Kuna lile tukio la wewe kusutwa na Lowassa kwenye NEC iliyopita Mkuu. Hukutoa tamko lolote la chama. Hata kile kitendo cha Wilson Mukama kuingilia kazi yako ya Uenezi mara baada ya kile kikao pia hujatolea tamko kabisa Brother!
 
Alafu kuna lile tukio la wewe kuhusishwa na CCJ hujazungumza kabisa Mkuu. Si unakumbuka ule ushahidi wa Mpendazoe!

Nashukuru kwakuwa wakati nachakachua ULINISAIDIA KUCHAKACHUA........

Nape ulichakachua bwana au umesahau jinsi akina Dr. Balongo walivyokusaidia! ukweli kaa kimya uongo toka na kanusha hahahahaaaaa bongo politics!
 
Nilikusahau Mungi katika ile panel tuliokuwa tukichakachua pamoja! Natanguliza shukurani

majibu yako yanaonyesha ulivyokubuhu kwenye mipasho na taarabu. Nachokusii punguza jazba!
 
Nape ukilijibu swali uliloulizwa na ndugu AZIMIOlaARUSHA kwa ufasaha na umakini wa hali ya juu, hakyamungu nitarudi tena CCM. Hebu jaribu kuthubutu kujibu ama kuongelea hayo mambo.
 
Tumemshika pabaya Nape Wakuu. Kakimbia hoja hivi hivi! Angalia sasa haonekani jamvini! Nape where are you my Friend? Sign in back!
 
Afu Lowassa akiingia mjengoni lazima akushughulikia ipasavyo. Usifikiri pale nec ulipopiga magoti na kumuomba msamaha yaliisha...
 
Mkuu Kinyungu,
Hivi ni kweli msimamo wangu juu ya kufukuzwa Kafulila hukuuona? Hapa Narudia....SIAMINI KATIKA SIASA ZA KUFUKUZA HASA WANASIASA VIJANA KWENYE VYAMA VYA SIASA BADALA YAKE VYAMA VYA SIASA VIJENGE UTAMADUNI WA KUVUMILIA NA KUWA WALEZI WA WANASIASA VIAJANA KATIKA NJIA ZIPASAZO BADALA YA ADHABU YA KUWAFUKUZA

ww mbona lowasa kakunyamazisha!! ulikuwa mbele mafisadi watoke mafisadi watoke na alipotoka rostam ukaja na mbwembwe na watu wakakupongeza, but wea are you now? sasa lowasa kaja juu na ww ndio unatakiwa kuchunguzwa kwa maneno ya mwenyekiti! na ndio maana umekaa kimya endelea na fyok fyoko zako uone kama hawajakufukuza chama!

tunahitaji mfumo mpya tena mi mpenzi wa madikteta ile mbaya, maana wanakuja na mfumo mpya wa kijeshi na jeshini hakuna mambo kama yenu sisiemu ya kulindana!

sifurahii ukiwapotosha watanzania kuwa unauchungu sana na rasilimali za nchi wakati umo kwenye kundi linalokwapua rasilimali za watanzania na hilo kundi ndio linasera za kuminyana midomo mfano akina sita wakanyea na issue ya kuwapa nafasi wapinzani wakati alikuwa anafuata taratibu za bunge linavyotakiwa kuendeshwa na si huyu mliemweka pale kwa kisingizio cha mwanamke na kama hiyo sera mnaipenda mwekeni mgombea 2015 mwanamke tuone kama hamjaparurana maana mianaume yote inaukodolea urais!

tunahitaji mapindunzi ya kweli kuanzia katiba ya wanachi si ya ccm, mfumo mzima wa data base ya watanzania ambayo itawawezesha kujulikana na wapiga kura na hakutokuwepo mambo yenu ya kuchakachua kura.
 
NAPE NI MSALITI WA VIJANA,UWEZO ALIONAO SIO WAKUWADANGANYA WANANCHI SEMA KWELI CCM NI MAFISADI NA WAMEKULA NCHI YETU

sema kweli braza
 
Tumemshika pabaya Nape Wakuu. Kakimbia hoja hivi hivi! Angalia sasa haonekani jamvini! Nape where are you my Friend? Sign in back!

KAENDA BREAK POINT KULA MAKANGE ATARUDI BADAe
 
Back
Top Bottom