Nape Kanda ya ziwa Hatudanganyiki, Hebu nenda na Shinyanga uone kazi nyingine

huyu jamaa na hii staiki yake ya kuforce atakuja kufanywa kitu mbaya niaje.
 
NIMEGUNDUA WAJF WENGI HAWAPENDI HABARI NDEFU, KAMANDA JITAHIDI UTUMIE HABARI FUPI YA KIJANA MWENZETU AKIWA HAPO MWANZA NA MWITIKIO WA WA WATU KUHUSU CCM. tUNAKUAMINIA MKUU.
 
Nape yuko kwenye kampeni,wamesema kuna kesi ziko mahakamani na watashinda pia kwenye uchaguzi utakua kama igunga.
 
Salaam,

HIVI MKISHAJIDANGANYA HUMU NA KUDANGANYA WATU MNAJISIKIAJE WANAUME WAZIMA KUDANGANYA WATU HAPA??? SOON NAWEKA PICHA ZA MWANZA NA LEO NITAENDELEA KUSAMBARATISHA VIJINGOME VYENU UCHWARA MWANZA NA KANDA YA ZIWA....

KAMA UNAWEZA KUDANGANYA MPAKA HILI AMBALO KILA MWENYE MACHO ALIONA JINSI WALIVYONYWEA CDM BAADA YA KUSHANGAA MKUTANO ULIVYOKUWA MKUBWA NA MWITIKIO TENA HAKUNA ALIYELETWA KAMA MNAVYOFANYA NA MLIVYOFANYA IGUNGA, MPAKA MAWAKALA MNATOA NJE YA ENEO?

AIBU KUBWA.... SHUHUDIENI KIPIGO KINGINE LEO NYAMAGANA NDO MTAJUA SIASA INATAKA TIMING

GreatThinkers,

Hali ilikuwa tete sana pale Kirumba, Nape kakiona cha moto.

Wamejitahidi kuja na Green guard lakini maji yalizidi unga vile vile, kanda ya ziwa tunasema CCM hatuitaki kabisa muulizeni Nnape kazomewa hadi mitaani.

Labda unadhani ni Mwanza pekee, nenda na Shinyanga utauona Moto wa CDM, tokomea hadi Kahama hutorudi nakuambia.

Tumeshachoshwa na propaganda zenu, NA NA 2015 ni CDM NI FIRE PLUS.
 
Salaam,
HIVI MKISHAJIDANGANYA HUMU NA KUDANGANYA WATU MNAJISIKIAJE WANAUME WAZIMA KUDANGANYA WATU HAPA??? SOON NAWEKA PICHA ZA MWANZA NA LEO NITAENDELEA KUSAMBARATISHA VIJINGOME VYENU UCHWARA MWANZA NA KANDA YA ZIWA.... KAMA UNAWEZA KUDANGANYA MPAKA HILI AMBALO KILA MWENYE MACHO ALIONA JINSI WALIVYONYWEA CDM BAADA YA KUSHANGAA MKUTANO ULIVYOKUWA MKUBWA NA MWITIKIO TENA HAKUNA ALIYELETWA KAMA MNAVYOFANYA NA MLIVYOFANYA IGUNGA, MPAKA MAWAKALA MNATOA NJE YA ENEO??????? AIBU KUBWA.... SHUHUDIENI KIPIGO KINGINE LEO NYAMAGANA NDO MTAJUA SIASA INATAKA TIMING

wewe si ulikataa huna ID humu Jf?, nikikuita una mambo ya kipimb* ntakua nimekosea?. Kama ulikana huna ID humu na wakat 2najua unayo sishangai ukija kukanusha Ufirauni ulioufanya Mwanza kwa kuwatukana wenzetu. Hufai kuwa kiongoz wewe, nenda JAHAZI MODERN TAARAB ndo panakufaa!.
 
Nnauye Jr;2663308]Salaam,
HIVI MKISHAJIDANGANYA HUMU NA KUDANGANYA WATU MNAJISIKIAJE WANAUME WAZIMA KUDANGANYA WATU HAPA??? SOON NAWEKA PICHA ZA MWANZA NA LEO NITAENDELEA KUSAMBARATISHA VIJINGOME VYENU UCHWARA MWANZA NA KANDA YA ZIWA....

KAMA UNAWEZA KUDANGANYA MPAKA HILI AMBALO KILA MWENYE MACHO ALIONA JINSI WALIVYONYWEA CDM BAADA YA KUSHANGAA MKUTANO ULIVYOKUWA MKUBWA NA MWITIKIO TENA HAKUNA ALIYELETWA KAMA MNAVYOFANYA NA MLIVYOFANYA IGUNGA, MPAKA MAWAKALA MNATOA NJE YA ENEO?

AIBU KUBWA.... SHUHUDIENI KIPIGO KINGINE LEO NYAMAGANA NDO MTAJUA SIASA INATAKA TIMING[/QUOTE]

Huna Lolote wewe, umehongwa Ukuu wa Wilaya na kupigwa changa la macho kwa kupewa cheo ktk chama,
hivi lile ghorofa hapo Vijana/Makondeko House limesimama?.Nakuapia Si Si Em mtakuwa na wakati mgumu sana miaka ijayo mtatuambia hiyo pesa mmetoa wapi?

Unaonekana unaganga njaa kijana, ninayoyaongea hata ukiwa mbele yangu nitakwambia hivi hivi.
Tumeshawachoka, hakika hampati hata Diwani 2015 rocky city
 
Jiwejeusi,
KACHUKUE KWANZA ULE MGAO ULIOBAKI THEN RUDI HAPA, BUT UKIJA NJOO NA MATUSI MAPYA HAYA YALISHASEMWA SANA, USIJAZE NAFASI BILA SABABU

Dogo huna haya, tushakwambia usitie mguu kanda ya ziwa unataka kutuletea unafiki tu, muulize Mukulu yaliyompata mwaka jana akiwa na Masha alipokuwa anahutubia Sahara na Mh. Wenje akiwa viwanja vya Mirongo-mwenzako alijifunza haji tena Rocky city.
 
Kweli ccm kinazeka vibaya hadi vijana wake wake wanazeka vibaya utadhani wana ugonjwa wa mtindio wa ubongo pole sana nape chama chetu ndio kinakuhukumu co wanainchi.
 
Salaam,
HIVI MKISHAJIDANGANYA HUMU NA KUDANGANYA WATU MNAJISIKIAJE WANAUME WAZIMA KUDANGANYA WATU HAPA??? SOON NAWEKA PICHA ZA MWANZA NA LEO NITAENDELEA KUSAMBARATISHA VIJINGOME VYENU UCHWARA MWANZA NA KANDA YA ZIWA.... KAMA UNAWEZA KUDANGANYA MPAKA HILI AMBALO KILA MWENYE MACHO ALIONA JINSI WALIVYONYWEA CDM BAADA YA KUSHANGAA MKUTANO ULIVYOKUWA MKUBWA NA MWITIKIO TENA HAKUNA ALIYELETWA KAMA MNAVYOFANYA NA MLIVYOFANYA IGUNGA, MPAKA MAWAKALA MNATOA NJE YA ENEO??????? AIBU KUBWA.... SHUHUDIENI KIPIGO KINGINE LEO NYAMAGANA NDO MTAJUA SIASA INATAKA TIMING

Nape, by typing your keyboard with caps locked proves how frustrated you've become!
 
wewe kijana nape kwanza huna adabu na wakuu wako,subiri moto unakuja ndio utajua kati ya gamba na mitume nani wakupigiwa salut
 
Salaam,
HIVI MKISHAJIDANGANYA HUMU NA KUDANGANYA WATU MNAJISIKIAJE WANAUME WAZIMA KUDANGANYA WATU HAPA??? SOON NAWEKA PICHA ZA MWANZA NA LEO NITAENDELEA KUSAMBARATISHA VIJINGOME VYENU UCHWARA MWANZA NA KANDA YA ZIWA.... KAMA UNAWEZA KUDANGANYA MPAKA HILI AMBALO KILA MWENYE MACHO ALIONA JINSI WALIVYONYWEA CDM BAADA YA KUSHANGAA MKUTANO ULIVYOKUWA MKUBWA NA MWITIKIO TENA HAKUNA ALIYELETWA KAMA MNAVYOFANYA NA MLIVYOFANYA IGUNGA, MPAKA MAWAKALA MNATOA NJE YA ENEO??????? AIBU KUBWA.... SHUHUDIENI KIPIGO KINGINE LEO NYAMAGANA NDO MTAJUA SIASA INATAKA TIMING

Duh! aisee yaani CCM siku hizi nayo inahesabu uwingi wa watu kwenye mikutano yake kama sehemu ya kukubalika????????
 
Wakazi wa Mwanza kazeni buti kwani Jiji la Mwanza linawauma sana CCM, Mwanza ni kioo cha kanda ya ziwa wanakuna vichwa ni jinsi gani ya kuirudisha Mwanza mikononi mwa CCM. Mh. WENJE na KIWIYA hakunakulala mpaka kieleweke. Watatumia vitisho, watapiga na kuua watu lakini hawatafanikiwa. Kwa upande wa Jiji la Mwanza CCM waandike wameumia. Tunawapongezeni sana. Kazi imebabi hapa Dar tutapambana mpaka vumbi litatimuka then one day yes kudadadeki.
 
Haa Napeeeeeeee
Yaani hawa vijana sijui kwanini hawasomi alama za nyakati?, au sijui ni njaaaaaa. Hivi kweli katika ulimwengu wa leo hapa Tanzania kuna kijana chini ya miaka 35 anayeipenda CCM kwa dhati kweli??

Jamani tuwe wakweli jamani, we mcheki mtu kama Mwigulu Nchemba eti kamzini mke wa kada mwenzake wa CCM, jamani mtu aiyepewa jukumu la kuhakikisha CCM inashinda badala ya kuwa makini kufanya kilichompeleka Igunga akamlamba mdada wa watu.

Haya bwana vijana wenzangu endeleeni na hayo mapenzi yenu ya dhati kwa CCM, ni bora kina cc hambao hatuna chama.
 
Duh! aisee yaani CCM siku hizi nayo inahesabu uwingi wa watu kwenye mikutano yake kama sehemu ya kukubalika????????
Eti huyu mpuuzi Nnauye jr ni Nape kweli? Anatumia jina la baba yake aliyekuwa TISS. Kwanza mtoto wa kikopo!!
 
Jiwejeusi,
KACHUKUE KWANZA ULE MGAO ULIOBAKI THEN RUDI HAPA, BUT UKIJA NJOO NA MATUSI MAPYA HAYA YALISHASEMWA SANA, USIJAZE NAFASI BILA SABABU

Yani wewe bure kabisa.

Posho unatoa wewe kwa wale vijakazi wako tena buku mbili. Unadhani kuna wengine wanaotoa posho? Mzee mkama alipotoa ripoti na kupendekeza magamba mlete watu hapa JF ndo na wewe umepata upenyo wa kuchakachua posho za vijakazi wenu.

Mtu gani umebaki kutukana tu majukwaani,huna hoja wala akili ya kushawishi watu umebakiza matusi. Hii ni aibu kwa chama chako,ni aibu kwa mkeo kama unaye na ni aibu kubwa sana kwa mzazi wako mzee Nnauye aliyeheshimika na watu wa rika zote na itikadi zote!
 
Hivi kwanini huwa unaibuka usiku kujibu hoja? Kama wewe ni wa kiume kweli, kwanini usijitokeza mchana?
Naona hali ya CCM ni mbaya sana!!

Amechagua style ya bundi kujitokeza na kufanya kaz zake usiku, mchana huwa amejichimbia mahala. Na kawaida bundi akionekana mchana lazima auwawe kwani anakuwa ametumwa kufanya uchawi.

Nape hawezi kuingia JF mchana kwa kuwa hana hoja za kujibizana na great thinkers, kijiwe chake ni facebook na ukimkong'oli huko facebook nako anakuondoa kwenye friends list.
 
nasikia na kesho atakuwa kata ya igoma, mwanza! mtujuze wakazi wa huko kitakachojiri

Mi natokea Mwz-Igoma ingawa nko Dar nw
Nape anatakiwa achunge bora huko magomen kirumba alizomewa sa Igoma na action,amuulize MASHA alitendwa ni2 kwenye compen zake mwaka jn Igoma
Diwan we2 wa Chadema kijana frm UDSM anavyopendwa na vjana sa lazma wamtende coz kavamia himaya ya CHADEMA
Nape note dis IGOMA ni kwa wa2 WAZTO akili ku kichwa
 
Back
Top Bottom